Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Uza mashamba hayo acha kulialia njaa na umeukalia utajiri[emoji23] tafuta mjini makampuni kibao yanakopesha kwa dhamana ya mali zisizohamishika/vyombo vya moto[emoji23]Wenzetu mikopo mnapataje sie tuna mashamba ya urithi lakini tunaambiwa hatukopesheki
Wee kuuza unadhani hizo nyanya kwamba inatoka kirahisi watu wakisikia unauza wanataka kukulalia tuu.Uza mashamba hayo acha kulialia njaa na umeukalia utajiri[emoji23] tafuta mjini makampuni kibao yanakopesha kwa dhamana ya mali zisizohamishika/vyombo vya moto[emoji23]
Kampuni gani??ninaifahamu Imarika lakini wao Dhamana wanataka Chombo cha Moto na si nyumbaKuna kikampuni hapo dodoma kinakopesha kwa dhamana ya kiwanja, chombo cha moto, ama nyumba, muhimu uwe mmiriki halali, watafute hao, uwapige hela, ukishindwa kurudisha wanachukua chako kinakuwa chao, unakuwa kama umeuza mali na kupata pesa...THE DEAL DONE, hivyo ndivyo maharamia tulifanya biashara bila kuhangaika na wateja[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana mzee ulijipiga bomu mwenyewe.....Just imagine umenunua kiwanja umeanza ujenzi,nyumba yako inakamilika halafu ghafla unageuka mpangaji kwenye nyumba uliyoisotea kuijenga halafu mwisho wa siku unatimuliwa kwenye nyumba yako.Aisee hii mikopo iko nzuri na mibaya, nilishawai kuchukuwa M10 za mkopo hapo sikujua namna ya kurejesha maana ilikuwa haraka haraka siku yule jamaa ananipa utaratibu wa kurejesha niliishiwa nguvu, maana nilitakiwa nilipe jumla ya M16 kwa miezi sita, cha kustaajabu hela yote niliijengea, nyumba nikaiuza nikageuka mpangaji kwenye hiyo nyumba, alienunua hiyo nyumba nae akanipa notisi niachie nyumba yake.
Pole sana broMimi nilikua afisa wa mikopo kwenye microfinance moja ivi nikaacha nikaingia mtaani kwenye biashara nilichofanyiwa na mikopo sina hamu, alikuja afisa mikopo juzi kunishauri nikakope kwao nimeishia kumtolea panga
Itakula kwako hiyo Nyumba itapigwa mnada usijaribu.Na mimi nataka kukopa lakini sina biashara bali nina nyumba yenye HATI safi Dodoma,sasa kama kuna Mfanyabiashara anayekopesheka anahitaji kukopa Bank lakini hana dhamana mimi ninayo aje inbox tuyajenge,Nyumba ipo Dodoma Mjini,thamani ya Nyumba ni zaidi ya Milioni 50 na ni Nyumba mpya,karibuni
Hao jamaa ni IMARIKA ndiyo tabia yakeKuna kikampuni hapo dodoma kinakopesha kwa dhamana ya kiwanja, chombo cha moto, ama nyumba, muhimu uwe mmiriki halali, watafute hao, uwapige hela, ukishindwa kurudisha wanachukua chako kinakuwa chao, unakuwa kama umeuza mali na kupata pesa...THE DEAL DONE, hivyo ndivyo maharamia tulifanya biashara bila kuhangaika na wateja[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii chai ya asubuhi bila sukariπ€Aisee hii mikopo iko nzuri na mibaya, nilishawai kuchukuwa M10 za mkopo hapo sikujua namna ya kurejesha maana ilikuwa haraka haraka siku yule jamaa ananipa utaratibu wa kurejesha niliishiwa nguvu, maana nilitakiwa nilipe jumla ya M16 kwa miezi sita, cha kustaajabu hela yote niliijengea, nyumba nikaiuza nikageuka mpangaji kwenye hiyo nyumba, alienunua hiyo nyumba nae akanipa notisi niachie nyumba yake.
π π π π πaisee mbona balaa sanaHawa qatu hasa wa microfinance wanakwaza sana
Na siku ya mwishobwatakua wanachomwa kama hotdog wanaviringishwa ndani ya gogo af wanaunguzwa taratibu waahed kabisa.
Kuna mmoja alikuja kazini amechomekea mpka kwenye diaphram na hesima deebe ananidedesa nichukue mkopo kwao marejesho yao ni kidogo hayaumizi. Nkamwambia aende aniachie kipeperushi nitafakari. Alivoondoka nkakaa nkapiga hesabu vzuri kbsa taratibu, nkaja kushtukia kua naenda kupigwa riba ya almost 30% kisirisiri, nkachana kipeperushi nkatupa kwenye dustbin.
Jamaa hakuogopa akaenda kwa mlinzi wa ofisi akamseti, msukuma wa watu akajaa kingi akachukua mkopo kwa kuamini kua rejesho la elf 5 kwa wiki hawezi kosa. Baadae akaja nkampigia hesabu nkamfungulia dunia kama clouds fm, alichoka. Yuke mlinzi kila jembe analopiga ardhini anawatukana wale jamaa. Alifanikiwa kulipa lkn kwa uchungu sna.
Bora nikope kwenye vikundi vya hisa huko, yakinishinda wanachukua hisa zangu aibu inapungua.