Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Dah ! [emoji2][emoji2][emoji2]Pole mkuu ! Unachukua tu mkopo bila kujua ABC zao zikoje ? Alafu hela ya mkopo unajengea ?
 
Hebu kataje tafadhari...tujifunze
 
Heee naomba no zao
 
iyo benki gani riba asilimia 60, ata ivyo ulibugi vibaya, unachukua mkopo unajengea. pole
 
Kuna jamaa yangu alikopea nyumba Kama 10m,,,, ! Nyumba yenyewe urithi ! Bank officer alomfanyia mpango alikula Kama lak 4 za fasta, yeye jamaa Ni mtu wa totoz na Bata,,,

Lengo lake ilikuwa afungue biashara, kachezea ile hela Kuja kustuka imebaki 5m. ,, Kafungua biashara Hana uzoefu nayo, mwanzon pale Mambo magumu ,,,huku marejesho,,,ngoma ikamshinda akauza duka akasepa ! Ile nyumba ilitangazwa mnada, ndg zake wanajiweza ndio waliiookoa! Sa hivi pale hasogei, anaishi Kama digidigi,,,ni mtu wa kujificha hapendi kujichanganya,,,

Nyumba imepangishwa,,,ndg walisema mpk hela waloitoa ikirudi ndo apewe !
 
Atleast kala totoz. Nyumba kitu gani bwana dunia yenyewe hii tunapita tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…