Tuliowahi kuvamiwa, kuibiwa au kutekwa na majambazi tujikumbushe

Mimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.

Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.

Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]pole mkuu ndio maisha
 
Yalijua mchawi au?:
 
Mi ile wanaruka fence kumbe niko macho, nikaandaa mguu wa kuku, ile wanabomoa tu mlango na fatuma yao nikaanza kuwatembezea za kichwa tu, mi nikaimba nao za kichwa tu.

hii ilimkuta njagu mmoja chanika kwenye nyumba yake.

majinga yameparamia ukuta yakafikia chumba cha watoto,ila purukushani wakiuliza chumba cha baba jamaa akashtuka akakoki akabunda nyuma ya mlango.

ile wanafungua mlango tu wa kwanza akakutana na msumali wa kichwa,wenzie wakajikuta wamefika dodoma kwa miguu.
 
Kipindi kile cha zamani magari yalipokuwa yanatekwaga na majambazi,walikuwa wanawaambia wasafiri wavue nguo zao zote,alafu mgeukie uliyekaa nae karibu awe mwanaume au mwanamke,muingilie,seat ya nyuma kulikuwa na lishoga liliposikia hivyo likavua nguo zake haraka,lishoga likasema jamani nishavua nguo zangu aliyetahari aje kuniingilia huku likiwa limefurama...
 
Mkuu wewe ulikuwa wapi 🤣😃
 
Nakumbuka ilikuwa 2013, bana wee sitaka nisahau maishani mwangu.

Nakumbuka nilipiga kazi kwenye biashara yangu, nikajikusanyia pesa nzuri tu sio chini ya million 2, ghetto nilipapendezesha vizuri sana.

Chumba changu kilikuwa pembezoni na mto Arusha eneo nililopewa na wazazi wangu pamezungukwa na miti na migomba mingi sana, kuna msitu mmoja mzuri sana kama ulaya vile.

Sasa kipindi hicho nilikuwa nimenunua bonge la speaker, daily nilikuwa nakula reggae na nyimbo za hiphop za chuga, nilikuwa na computer ya dell desktop, kipindi hicho ukiwa na computer mtaa mzima unakuheshimu.

Ilikuwa majira ya saa 9 usiku, nikiwa nimelala gheto, ghafla nikasikia mlango umepigwa jiwe fatuma kwa watu wanaojua jiwe fatuma ni nini watakuambia, walikuwa kama 7 hivi wameshika marungu na mapanga wengine wananimulika na torch machoni yani kama movie vile..

Jamaa wakaniambia toa ulichonacho, nikawaambia sina chochote zaidi ya hivi vitu vya gheto, hakuna!! toa pesa ulizonazo mara mabapa ya mgongo kwa sana, nikawaambia sina pesa, kuna jamaa akawaambia huyu mpaka akatwe ndo atoe pesa, daah jamaa akanikata na panga mgongoni, nikaona niwape hela zao waondoke.

Jamaa wakanipa kichapo cha maana, wakabeba computer, nguo, viatu vyote, speaker na pesa zote nilizosave wakaondoka zao.

Nilichojifunza, simuonei mwizi huruma nikishajua ameiba kweli, yani atakula vitofali mpaka ajute kwanini kaiba..

Hayo ni yangu yalionikuta enzi hizo je nyie kiliwakuta kipi, nakaribisha mchango wenu kwenye huu uzi.

ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD..
APPROXIMATELY ONCE AGAIN..
,
Pole SANA mkuu....usipende kulipa kisasi kwa baadhi ya VITU maana maandiko yanasema samehe 7X70.....muombe mola akuepushe ni mipango yote mibaya
 
Ukaona mpaka ukwatwe panga ndo utoe pesa

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23]Aliepigana na wezi Hadi wakafariki wote ndo sijaelewa aje atupe ushuhuda mbinguni kupoje[emoji23][emoji23][emoji23]

Huku hakuna tozo kabisa kila kitu bure!,lkn wale mabikra 72 sio kweli [emoji28]ni mwenye wakutulia tu na genye zako!
 
Back
Top Bottom