mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Fundi mkuu upooo!Nawafata wengi tu..tatizo lenu mnajua PM ni mambo ya kubanjuana tu. Wakati mwingine tunahitaji marafiki, tena urafiki unabaki kuwa wa jf pekee na si zaidi ya hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fundi mkuu upooo!Nawafata wengi tu..tatizo lenu mnajua PM ni mambo ya kubanjuana tu. Wakati mwingine tunahitaji marafiki, tena urafiki unabaki kuwa wa jf pekee na si zaidi ya hapo.
Mipaka ni lazima. Kuna mijitu haina akili inataka urafiki nje ya jf ukiikaribisha lazima wakuharibie..utasikia mlio wa msg saa 8 usiku...i miss u. Wajinga kabisa! Mimi urafiki na mwanaume nje ya jf siufagilii hata kidogo. Wengi ni under 20, zero brain!Urafiki wa kweli hauna mipaka mkuu,inakuaje urafiki uishie hapa hapa jf!
Nipo fundi..nasubiri unisumbue PM lkn wapiiiFundi mkuu upooo!
Haya naja, teh!Ukimaliza kucheka uje pm tafadhali
Nimemuomba member mmoja anifundishe namna ya kuitumia hiyo PM akanitolea nje ,bora umetokeza najua hutonitosa fundi wanguNipo fundi..nasubiri unisumbue PM lkn wapiii
Mi mwenyewe sijui. Ukishafundishwa karibu sanaNimemuomba member mmoja anifundishe namna ya kuitumia hiyo PM akanitolea nje ,bora umetokeza najua hutonitosa fundi wangu
Upo nimeku missHahahahahaa
Duuuu! ebanaeeeeee, haya poaMi mwenyewe sijui. Ukishafundishwa karibu sana
nautaka na mm huo ulimbo ssUsishtuke wala kushangaa ni kweli kabisaaa.
PM ni habari ingine, sijui wanawekaga ulimbo.....
Nipo my dear.Upo nimeku miss
Na mimi nakusubiri huku tafadhaliUkimaliza kucheka uje pm tafadhali
Cause all of me loves all of you. Love your curves and all your edges, all your perfect imperfections.Hivi unajua unaanza kuniambuikiza hiyo hali..... Kila nikiona notification yako mapigo ya moyo yanaongezeka. ...... unanivuta ujue..... halafu najiona kabisaaa navutika. ......
Vizuri kama upo mana twapishana tu hatujabambana mudaNipo my dear.
If I was granted just one wish, I would ask for a longer life. The number of years I am destined to live on this planet may not be enough for me to tell you how much I love you.Cause all of me loves all of you. Love your curves and all your edges, all your perfect imperfections.
Im not pretending.
Now im at the point of no hiding my feelings anymore.
Lets give time some time.
Mi mwenyewe nilikua nakutaka basi tu nilikua najua nikikutongoza pm utanikataa.Nimefurahi sana yaani unenikubali Bila kujuendea kwa mganga!!!
Unajilipua tu. Utakachokutana nacho basi.Hivi mtu unakuwa unajua vipi Kama huyu mzuri mpaka umtongoze au unamuomba Picha kwanza?
Isije kuuziwa mbuzi Kwenye gunia hapa.