Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

Urafiki wa kweli hauna mipaka mkuu,inakuaje urafiki uishie hapa hapa jf!
Mipaka ni lazima. Kuna mijitu haina akili inataka urafiki nje ya jf ukiikaribisha lazima wakuharibie..utasikia mlio wa msg saa 8 usiku...i miss u. Wajinga kabisa! Mimi urafiki na mwanaume nje ya jf siufagilii hata kidogo. Wengi ni under 20, zero brain!
 
Tangu nichat na madem wa humu, ni mmoja tu, aliweza kunichallenge wengine ni masalia tuuh..! Na hakika nisipomzawadia ndoa basi tena mke wangu hayupo humu..
 
Nilivyokuwa selective, sijawah kumfuata mwanamke yyte PM kumtaka kimapenz, nnaamini wengi huku ni wabovu, na wana misambwanda, akati mm ninapenda flat screen [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi unajua unaanza kuniambuikiza hiyo hali..... Kila nikiona notification yako mapigo ya moyo yanaongezeka. ...... unanivuta ujue..... halafu najiona kabisaaa navutika. ......
Cause all of me loves all of you. Love your curves and all your edges, all your perfect imperfections.
Im not pretending.
Now im at the point of no hiding my feelings anymore.
Lets give time some time.
 
Cause all of me loves all of you. Love your curves and all your edges, all your perfect imperfections.
Im not pretending.
Now im at the point of no hiding my feelings anymore.
Lets give time some time.
If I was granted just one wish, I would ask for a longer life. The number of years I am destined to live on this planet may not be enough for me to tell you how much I love you.
 
Back
Top Bottom