Tuliozaa nje ya ndoa tukutane hapa, tujadili changamoto tunazokutana nazo

nilikuwa natumia gharama kubwa angalau niweke alama ya mtoto, ili huko mbeleni iwe rahisi kupasha kiporo pale ninapohitaji.
Ilibidi nirudi ninoti unajiitaje humu


Bi mkubwa hajui kama nina watoto nje; na hii nataka iwe siri mpaka hao watoto wote wawe sekondari nasi tukiwa kwenye umri wa busara ndio tuweze kuzungumza.
Roho mbaya sana wewe
Umuumize akiwa umri huo!!!!

Itavuja tu akuache.. Zen utazeeka na hao hao wa nje.

Tatizo hata aibu hauna.. Shame
 
Fyatua baba fyatuaa fainali uzeeni Mimi wangu watatu nlopewa Inshalaah wananitosha hayo Mayai mengine ntakaangia viepe na chapati za maji
 
Kwa sasa hawajuani, na hata hao wamama hawajuani; Mungu akijalia,miaka 10 mbele watajuana.
Nikiarakisha kwa sasa, italeta matatizo.​
Fanya kadri uwezavyo angalau Wazazi wako wawajue hata kwa siri na uwaeleze hali halisi kuwa hutopenda mkeo na ndugu wa mkeo wajue kwasasa.
Binadamu tunapanga baada ya miaka 10 ndo ulipue bomu ila je, vp kama Mungu hana mpango wa kukufikisha hyo miaka 10?... Huoni kama italeta ugomvi kabla hata mazishi hayajaisha?, (joke)
Ila jitahd mchukue hata mshua ako nenda nae kma kusalimia kwa hao wazazi wenzako ili awe shahidi wa kuwasemea Watoto wako hao siku ukizima bila kutarajia (hatuombei).
Naomba kuwasilisha.
 
Kiukweli mwanangu ameniachia laana ,kabla sijayajua mapenzi sikupitia changamoto kwenye utafutaji na nilipendwa na kila mtu ,lakini leo hii kuna wanaonichukia kwa sababu zao binafsi ni wengi sana .

Mwanamke niliezaa nae ananiambia kamwe sitampata huyo mtoto 😭😭
 
Wanaweza kushindwa kutunza siri, na baadaye ikawa shida
 
Muachie, utafute wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…