Tuliozaa nje ya ndoa tukutane hapa, tujadili changamoto tunazokutana nazo

Hivi mnafanyaje mnapata watoto Mimi napambana nasipati kitu miaka 46 sasa nimekata tamaa
Fanya uchunguzi kwa vipimo, inawezekana tatizo likawa kwako au kwa mwenzako; inaweza kutibika.
 
Mkuu nimechelewa sana kuja kukupongeza KWANZA HONGERA SANA Wewe ndo umekuwa role model wangu hapa jf.
Mimi kabla sijaoa nilitest mitambo na mjita mmoja mrefu mweusi na ilikuwa ya motoo nikaona hapa bila mtoto ni kazi mara imoo.

Baada ya kuoa wife nilimwambia kuwa nina mtoto nje hivyo akubali akatae ndo hivyo tena hana namna.

Nimekaa kwenye ndoa na wife mara kuna mtoto akautaka tena imoo.Hii nikaapia wife hatakaa ajue kama atajua ni mbele kwa mbele tu huko!

Baada ya mwaka mpya nimetafutwa tena nilienda mashambani huko kijijni kulima akajilengesha mtoto wa mtu tena imoo. Sasa nikaambiwa nihudumie otherwise yule binti aletwe kwangu na mimba ina miezi 7 hadi.N hii nimeapa tena kwa mbingu na nchi wife simwambii atajua mbele kwa mbele huku anaisoma no.

NB;MWANAUME BILA MTOTO NJE YA NDOA NI SAWA NA SERIKALI BILA UPINZANI.
 
Muhimu ni kukaa kimya tu, ikija kujulikana unajitetea ulikuwa hujui kama uliacha watoto huko kwingineko.
 
Muhimu ni kukaa kimya tu, ikija kujulikana unajitetea ulikuwa hujui kama uliacha watoto huko kwingineko.
Sasa hivi kuna mwingine tena anasema anataka azae amekaa sana kusubiri kuolewa haoni sasa na pln huyu akijifungua huyu nae abebe mimba nyingine dhambi ni kukataa mtoto tu ila kama unakubali na iko wazi kitanda hakizai halamu ...twende kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…