Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Yaan hapo hakuna point sawa sawa useme binadamu ashindane na gari kukimbia.hizo ni baadhi ya features kweny Chatgpt haswa plus ambazo ni more advanced kuliko ya kawaida..Jaribu kufuatilia binadamu hawezi kufanya kazi kushinda na Al hata kidogo.
kaangali robot za Al then uje kwa points kama binadamu anatoboa
Dude tukubali ukweliInferior/ colonial legacy
Hizo ndege zilizotengenezwa na Waafrika ziko wapi?Siri gani. Umeshindwa wewe.. kuna watu afrika wanaweza tengeneza ndege, mashine tofauti na n.k sema afrika uchawi umetawala
Mtanzania akitengeneza bunduki anapelekwa wapi? Siku tukiacha uchawi tutafika. Ndo maana wazungu wakija afrika wakagundua uko na kipaji wanakuchukua .Dude tukubali ukweli
Hizo ndege zilizotengenezwa na Waafrika ziko wapi?
Mi naamini tofauti. Naamini technologia inaweza kubisha command ya mwanadamu. Bado mwanadamu ataweza kuizidi ila kunaweza kutokea mbishano.Siku moja Teknolojia itamzidi akili binadamu...
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mzee unaongelea kutengeneza solar hahaaa mbona kitu kidogo sana hiko kwa wenzetu.Promo sasa hii mbona kuna kijana wa kitanzania anatengeneza solar. Endelea kushangaa vya wazungu.
Duh! Hao waigizaji wahamie africa sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960] kama kituo chao kipyaYes inaweza na ndivyo inavyofanyika.
Kwa sasa baadhi ya studio kubwa duniani wanaanza kufanya mazoezi ya kutumia AI Midjourney, hakutakuwa na haja ya kukodi na kuwapa watu pesa as wahusika wa movie.
We umetengeneza kipi? afrika watu wanatengeneza mkeka kwa mikono wao wanatengeneza kwa mashine nani mwenye uwezo mkubwa hapo. Unaona uchawi wako sasa sa unashangaa drone 🤔 kweli kisangaMzee unaongelea kutengeneza solar hahaaa mbona kitu kidogo sana hiko kwa wenzetu.
Nenda hapo IST DSM watoto wanatengeneza drones ndo useme solar.
Acha maneno maneno ya uswahilini mkuu, mara funga sehemu ya maoni, uliponi challange ulitaka nikae kimya 😢!.umejikuta mwamba kuchanganya kiswahili na kingereza. Lugha yako tatizo ya kigeni ndo kabisa. Tulizana hoja yako ni finyu sana. Udini umeuona wapi. Funga sehemu ya maoni basi
Computer ndio Siri iliyo nyuma ya hayaOngeza minofu brother, kuna siri gani nyuma ya haya mapinduzi makubwa ya technology!?
Solar kwa sasa ni kawaida tuuu....tunaongelea current innovations...We umetengeneza kipi? afrika watu wanatengeneza mkeka kwa mikono wao wanatengeneza kwa mashine nani mwenye uwezo mkubwa hapo. Unaona uchawi wako sasa sa unashangaa drone [emoji848] kweli kisanga
Mkuu nafkiri iliishia pale binadamu wametoroka wanarudi duniani wakidhani wapo na David wao mpya kumbe ni yule wa zamani. Ile wanaingia ktk zile capsule zao kulala David wa zamani anamfungia yule dada ndo yule dada anagunfya David aliyepo ktk ile ship ni wa zamani...wakati chombo kishasetiwa kinakuja duniani....kama sikoseiComputer ndio Siri iliyo nyuma ya haya
Dunia inaenda kutawaliwa na marobot
Mfano mzuri Siri na Alexa hizo ni AI moja Google na moja Apple
Achia mbali hizo kuna AI la Microsoft na FB kwamba ukifa a/c yako itaendelea kufanya kazi ni robot lako sio wewe marehemu Ila litatumia picha yako na details zako zote
Utafika wakati marobot yataenda kuitawala dunia emu uwe unazingalia zile movie za Si-fi zinazohusu masuala ya AI
Anza na Terminator 3: Rise of the Mashines (2003) Starring Arnold Schwarzenegger, Nick Stahl, Claire Danes, and Kristanna Loken
View attachment 2580422
AI ni Jambo zuri sana lakini katika kila kizuri kuna faida na hasara zake, AI ni mfumo wa computer na unatengenezwa na mwanadamu ili uweze kujiendesha wenyewe bila kumtegemea mwanadamu na hufanyiwa updates na mwanadamu kila baada ya mda, AI ikijifunza inaweza kujifanyia updates yenyewe Ila kibaya ni pale mfumo unapopata attack ya namna yoyote mfano virus akimuingia basi mfumo unaweza kufanya kinyume na kile kilichokusudiwa, ukiangalia hio movie ya Terminator 3: Rise of the Mashines utakua umeelewa nazungumzia nini
Tafuta movie inaitwa Prometheus (2012) kwenye hii movie kuna robot AI linaitwa David sasa huyu David alichokifanya humo ndio utajua kua AI Ina faida pia Ina hasara
View attachment 2580443
Huyu ndio David (robot AI)
David kwenye hio movie na huyo Creator wake (alikua anamuita father) walienda kwenye Sayari nyingine kwa kigezo kwamba wanaenda kumtafuta alieumba wanadamu yaan MUNGU, yaan Creator wa David aliamini kwamba MUNGU yupo huko waende wakamuone
View attachment 2580417
Huko walipofika wakakutana na viumbe wa ajabu, huku na huku wote wakafa akabakia David tu ambae ni robot
David alipobaki akaanza kuumba viumbe kwa kutumia viumbe vya ajabu akichanganya na mabaki ya wanadamu yakatokea ma alien
View attachment 2580419
Muendelezo ulikua kwenye Alien: Covenant (2017) humu wanasayansi wengine wanaenda tena kwenye hio Sayari wakiwa na David (robot AI) mwingine ambae yupo more modified kuliko yule wa zamani yaan yupo updated si unajua kuhus Android kila baada ya mda inafanyiwa updates Ila yule David ambae alienda mwanzo hakufanyiwa updates zozote sababu alikua anaishi mwenyewe
View attachment 2580420
Basi walipofika wale David wawili wakaonana ni wanafanana Ila wote ni robots (AI) Ila yule aliefanyiwa updates ana akili kumzidi yule alietangulia, basi yule David wa mwanzo alietengeneza ma-aliens akaanza kuwashambulia wale waliokuja kimya kimya wakaanza kuuwawa
View attachment 2580421
Kumbe alikua anafanya research yaan robot linafanya research kuhusu mwanadamu, na lilikua na mkakati wa kutengeneza viumbe vipya na wanadamu wote wafyekelewe mbali mara watu wakaanza kufa baadae wakamshtukia kua huyu David wa zamani sio mzuri ngumi zikazuka kati David wa zamani na David mpya wakazipiga Ila David wa zamani alikua na technique mpya alizojibunia mwenyewe akamshinda David mpya Ila hakumuua (robot hafi labda afanye self destruct)
Baada ya hapo akaanza kuwafukuzia wale waliokuja ili awafanyanyie mbaya
Muendelezo wa Alien: Covenant (2017) ulikua ni Alien: Awakening (2019) Ila haikutoka mpaka leo haijaendelezwa ingawa ukifuatilia inaonekana ilishatengenezwa sababu za kutokutoka ni msigishano wa maudhui ya movie na watu wa dunia maana hio Alien: Awakening (2019) David alikua amechukua chombo akiwa na viumbe wa ajabu (aliens) anakuja Duniani kuiangamiza Dunia yote
AI ni nzuri Ila Ina faida na hasara zake robot lilikubadirikia au robot likichezesha viumbe vingine viingiliane na mfumo wa mwanadamu hapo kinazuka kiumbe Cha ajabu,
Naweka karamu chini...
Kwani hatutumii uwezo wote saivi?Hayo mambo tuyaona yanafanya na AI tunayaona makubwa kwakuwa hatujaweza kufikiri kwa kiwango hicho, ijapokuwa ni mambo naweza kusema madogo kama tukiweza kutumia sehemu nzima ya uwezo wetu wakufikiri
Naunga mkono hoja[emoji1787][emoji1787] lishe kwa mtu mweusi ni duni....rejea 'eat more'Mimi Nina wasiwasi pia kwenye Lishe [emoji38]
Mkuu mimi binafsi baba yangu alikua Electrical engineer(R.I.P), Kuna siku niliwahi kumuliza kwanini Tanzania hatuna magari ya kutengeneza wenyewe? Akaniambia uwezo wa kutengeneza wanao tatizo materialDude tukubali ukweli
Hizo ndege zilizotengenezwa na Waafrika ziko wapi?
Siku teknolojia ikikuletea chakula cha bure na nyumba ya kuishi bure hapo nitakuja kuikubali. Biashara za watu. Teknolojia ni kwa wenye uwezo we kapuku bado huna faida na Teknolojia zaidi ya kutafuta umaskiniSolar kwa sasa ni kawaida tuuu....tunaongelea current innovations...
Hiyo solar imeanza kutengenezwa miaka mingi iliyopita. Hoja ni kwamba hayuko ktk pace ya teknolojia tuko nyuma sana.
Unazungumzia mkeka wakati huu...ni product sawa lakini lazima iendane na mahitaji ya sasa...yaani utumie teknolojia ikisaidie kupata mkeka Bora kwa bei nafuu siyo wiki mbili na zaidi unapata product ya mkeka mmoja kama walivyokuwa wanafanya wa kina mama kushona mkeka kwa kupitia ukiri mara kuchemsha rangi kweka ukindu etc that is way past ..ndiyo maana mikeka ya china ya plastick imekamata soko. Hujajiuliza Why?
Yes ndio hivyo mkuu alafu akawa ameshamfungia kuna swali alimuuliza kuhusu Boat lile swali lilikua km password ya David mpya ambayo David wa zamani alikua hajui, kabla ya kufunga ile mashine alipokua amelala alipomuuliza akajibu tofauti ndio akagundua kua huyu ni yule wa zamani sio mpya, lakini pia usisahua kua wale wote sio binadamu halisi bali ni clonesMkuu nafkiri iliishia pale binadamu wametoroka wanarudi duniani wakidhani wapo na David wao mpya kumbe ni yule wa zamani. Ile wanaingia ktk zile capsule zao kulala David wa zamani anamfungia yule dada ndo yule dada anagunfya David aliyepo ktk ile ship ni wa zamani...wakati chombo kishasetiwa kinakuja duniani....kama sikosei
Siri zipi?Kwahiyo unafikiri kwamba hao wazungu wanatumia uwezo wa akili zao kufikiri? Mbona sisi Waafrika tumeshindwa? C'mon dude hao watu wana siri zao.