Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

We jamaa kwani Google bots ni nini? Emu tuanze hapo kwanza maana naona bado unapuyanga? What's Google bots? Usi-google
Hujajibu unaliza jibu kwanza...Nakurahisishai swali Je AL hiawezi kufanya kazi kama Robot?

Robot wa google anatembea wa wapi we?
 
Tatizo sio material (vifaa) tu Ila tatizo lingine lililojificha ndani ya ukosefu wa materials (vifaa) ni umasikini vifaa vingi ni gharama, watu wa chini wenye ujuzi hawawezi ku-afford vifaa vinavyouzwa gharama ya juu
Ndiyo hivyo
 
Mkuu mimi nafanya nw project ya deep learning computer vision convolutions Neural Networks(CNN) by transfer learning.
Siishii kuangalia movies na kugoogle kama wewe.
Sasa jifunze kuwa na upeo wa kuelewa hata robotic hujui basi tulia fuata syllabus ya kwenu kwani imekulazimisha?...Unafanya project gani ?hata kujua kwa undani hamna kitu au copy na paste ndo elimu ya bongo.

yaani Al watu wanatumia we umakariri
 
Mkuu hata robotics hujui ni nini ndio maana umeshindwa kujua automation.
Kwa kheri mkuu
 
Mkuu hata robotics hujui nini ndio maana ukeshindwa kujua automation.
Kwa kheri mkuu
Nan asiyejua automation mara usema robotic na utomation ...Ukweli mchungu hauna point umejifunza kwangu ulikuwa hujui we fuata syllabus bado mwanafunzi 😂😂😂AL ni pana sana we fuata syllabus yako ufaulu ila hujui chochote kuhsu Al mwenzio kakimbia nyie bado wanafunzi mnafundisha deep learning na machine learning...
 
Hujajibu unaliza jibu kwanza...Nakurahisishai swali Je AL hiawezi kufanya kazi kama Robot?

Robot wa google anatembea wa wapi we?
We jamaa nilichokugundua akili yako nzito sana na pia unapenda ubishani usio na faida, nakushauri achana na haya Mambo fanya mambo mengine,
 
Nan asiyejua automation mara usema robotic na utomation ...Ukweli mchungu hauna point umejifunza kwangu ulikuwa hujui we fuata syllabus bado mwanafunzi 😂😂😂AL ni pana sana we fuata syllabus yako ufaulu ila hujui chochote kuhsu Al mwenzio kakimbia nyie bado wanafunzi mnafundisha deep learning na machine learning...
Sawa mkuu ngoja tukuache unaye jua
 
We jamaa nilichokugundua akili yako nzito sana na pia unapenda ubishani usio na faida, nakushauri achana na haya Mambo fanya mambo mengine,
Si useme hapa ...Bado mwanafunzi hujui kitu angalia muulize mwalimu wako bado mwanafunzi acha kuropoka
 
Mkuu hata robotics hujui ni nini ndio maana umeshindwa kujua automation.
Kwa kheri mkuu
Bora umpotezee jamaa bado yupo empty ana mengi ya kujifunza kinachomponza kujifanya kujua kwingi hilo ndio tatizo badala aombe kujifunza anataka kujifanya yeye ndio anajua sana,
 
hujui kitu si useme robotic ipo haipo nyie madogo wanafunzi mmekutana ebu kufanyeni mitihani huko ubishi kibao.
 
Wewe ni empty case yaan kuna kijiswali nimekuuliza umekiruka nikakugundua kua wewe kichwani hazimo,

Usinipotezee muda
 
ulijibu langu wapi lionyeshe hapa Bongo kuna mtaaalamu Al ?toa ujinga wako Hata uende chuoni kwenu hao maprofessor wako hwajui kitu
 
Vitendo vip leta hoja! uzitoe wapi syllabus imekulimit hujui zaid maskini ya Mungu bado mwanafunzi.
Wewe sio kila unaemuona anaizungumzia computer ni mwanafunzi mwenzio kua na nidhamu kijana,
 
Back
Top Bottom