Tuliposema Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi tulipuuzwa, Sasa angalia hii

Mkuu digba sowey , kwenye barua za ajira, kwenye job description zako, unaelekezwa majukumu yako pamoja na mambo mengine yoyote ambayo utaelekezwa, hivyo hayo ni maelekezo, usipotekeleza bila sababu ya msingi ni kosa la insubordination, kwanza unakula memo, maelezo yasipojitosheleza, unafunguliwa mlango na kuonyeshwa njia ya kutokea, ndio safari!.

Anayeamua ni mambo gani muhimu kwako sio wewe ni mwajiri, kama mwajiri amekuelekeza kuhudhuria mkutano wa CCM, unahudhuria hata kama wewe ni Chadema.
P.
 
Thanks a million
 
Serikaki inatekeleza ilani ya chama tawala,kisheria usipokwenda ni kosa maana mnaenda kukumbushwa kuhusu utekelezaji wa ilani,mimi binafsi nisingeenda ningesubiri adhabu
 
K
Kama unajitambua huna sababu ya kwenda na wala hakuna litakalotokea. Labda Majungu na kutafutana tuu na kama wewe unatimiza wajibu wako vizuri wala hakuna litakalotokea
 
Serikaki inatekeleza ilani ya chama tawala,kisheria usipokwenda ni kosa maana mnaenda kukumbushwa kuhusu utekelezaji wa ilani,mimi binafsi nisingeenda ningesubiri adhabu
Ndiyo maana haupo serikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…