Tuliposema Emmanuel Nchimbi hana Ushawishi tulipuuzwa, Sasa angalia hii

Ukiwa seerikalini ukipenda usipenda unafanya kazi kwa kutelekeza ilani na sera za chama tawala, si unakifahamu chama tawala?

CCM ndiyo inayodhibiti pesa zote za serikali zinazotumika nchi hii, pamoja na unazolipwa wewe, kumbuka hilo.
Unaongea nini wewe bibi
 
Sasa watumishi lazima wawepo kwenye mkutano wa katibu mkuu ili Kama Kuna za kiserikali ziweze kujibiwa hili sio swala la kukubalika ni lazima wawepo mbona unakomaza kichwa kwenye masuala haya madogo mkuu?
 
Naomba Pascal Mayalla atie neno hapa na sisi walimu tupate kupona.

Hakika sisi waalimu niwanachama waadilifu kwa serikali lakini siku ya mei mosi sijui akili zetu zinakuwaga wapi
 
Sasa watumishi wa umma ndio waliinadi ilani majukwaani wakati wa kampeni?
Utaratibu Chama kilichopo madarakani ndicho hupangia serikali cha kufanya kwa kufuata Ilani iliyonadiwa wakati wa kampeni za uchaguzi. Watumishi wa serikali ndiyo watekelezaji wa Ilani hiyo wakisaidiwa na uhamasishaji wa viongozi wa Chama kilichopo madarakani.

Mpaka hapa huna namna lazima ujue umuhimu wa wafanyakazi wa serikali kutakiwa kutoa majibu ya utekelezaji wa shughuli za kiserikali kwa viongozi wa Chama kilichopo madarakani na wananchi kwa ujumla.
 
pole sana muajiriwa unatesekea local gvmnt ipi hapa tz maana mpo kama mazezeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…