Tulisimamisha kila kitu kupisha mnyukano kati ya vijana wasio na silaha dhidi ya majeshi yenye AK47

Kindus

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Posts
4,257
Reaction score
3,383
Baada ya oct29 nilitoka huku kijijini kwangu kwenda jijini Arusha kujionea halihalisi nakumbuka ilikuwa nov.4 hivi nilimkuta askari mmoja wa jeshi la wananchi nilosoma naye kule Dakawa akiwa amesima kwenye makutano ya kona ya mbauda akiwa ameshikilia silaha nzito huku akimsimamisha baadhi ya vijana na kuwahoji na wengine akiwapa adhabu mbalimbali sikuweza kumsogelea kwani alikuwa kazini na wenzie wakiwa sirias sana

Kwa bahati nzuri ama mbaya tulikutana naye kijijini kwenye msiba wa mama wa brigadia mmja amvaye pia ni mama yangu mdogo kwa kweli mie sikuvumilia nilimuuliza kwanini hali ile ya october ilitokea
Akanijibu kuwa ni wananchi wanataka nchi yao
Nikamuuliza kwanini sasa mliwazuia tena kwa kuangamiza baadhi yao
Akajibu sisi tulikuwa kazini

kisha akaendelea kusema mimi nimeshangaa wameanza vizuri lkn finishing yao ikawa ya hovyo na sasa itakuwa ngumu sana hawatoweza tena wamebugi vibaya mno wala wasijaribu tena.

Hili nimeliona jana vijana hawa wamekoma hawatorudia tena
Jana tuliwachia uwanja wapambane sisi tukiwa mafichoni lakini nashangaa nao walijificha wameingiza upepo tofauti na wenzao wa kenya wasiokoma

Nchi hii mtawala hupanga anachotaka na hii hali itadumu sana japo mwanajeshi yule schoolmate wangu alinambia kuwa 2030 yatatokea mabadiliko makubwa sana lkn sio kuking'oa kisiki hiki.
 
kiki na public sympathy zinatafutwa kindezi sana jukwaani kwa porojo useless tu dah 🐒
 
"kisha akaendelea kusema mimi nimeshangaa wameanza vizuri lkn finishing yao ikawa ya hovyo na sasa itakuwa ngumu sana hawatoweza tena wamebugi vibaya mno wala wasijaribu"

Hii sehemu nyumbu watapita kama hawaioni. Yenyewe inakimbilia kumsikiliza mange na maria tu basi.
 
Baada ya oct29 nilitoka huku kijijini kwangu kwenda jijini Arusha kujionea halihalisi nakumbuka ilikuwa nov.4 hivi nilimkuta askari mmoja wa jeshi la wananchi nilosoma naye kule Dakawa akiwa amesima kwenye makutano ya kona ya mbauda akiwa ameshikilia silaha nzito huku akimsimamisha baadhi ya vijana na kuwahoji na wengine akiwapa adhabu mbalimbali sikuweza kumsogelea kwani alikuwa kazini na wenzie wakiwa sirias sana

Kwa bahati nzuri ama mbaya tulikutana naye kijijini kwenye msiba wa mama wa brigadia mmja amvaye pia ni mama yangu mdogo kwa kweli mie sikuvumilia nilimuuliza kwanini hali ile ya october ilitokea
Akanijibu kuwa ni wananchi wanataka nchi yao
Nikamuuliza kwanini sasa mliwazuia tena kwa kuangamiza baadhi yao
Akajibu sisi tulikuwa kazini

kisha akaendelea kusema mimi nimeshangaa wameanza vizuri lkn finishing yao ikawa ya hovyo na sasa itakuwa ngumu sana hawatoweza tena wamebugi vibaya mno wala wasijaribu tena.

Hili nimeliona jana vijana hawa wamekoma hawatorudia tena
Jana tuliwachia uwanja wapambane sisi tukiwa mafichoni lakini nashangaa nao walijificha wameingiza upepo tofauti na wenzao wa kenya wasiokoma

Nchi hii mtawala hupanga anachotaka na hii hali itadumu sana japo mwanajeshi yule schoolmate wangu alinambia kuwa 2030 yatatokea mabadiliko makubwa sana lkn sio kuking'oa kisiki hiki.
Wageni ( Biz pipo n Investors ) ndio wanaamua Wakwere muishi vipi.
Na hao ndio Deep state wanaamua kumfubaza Rais wenu na taasisi zake zote wanaziweka mfuko wa nyuma na juu ya Ubao panasomeka "PLATA O PLOMO"
Chagua.
Maamae.
 
Baada ya oct29 nilitoka huku kijijini kwangu kwenda jijini Arusha kujionea halihalisi nakumbuka ilikuwa nov.4 hivi nilimkuta askari mmoja wa jeshi la wananchi nilosoma naye kule Dakawa akiwa amesima kwenye makutano ya kona ya mbauda akiwa ameshikilia silaha nzito huku akimsimamisha baadhi ya vijana na kuwahoji na wengine akiwapa adhabu mbalimbali sikuweza kumsogelea kwani alikuwa kazini na wenzie wakiwa sirias sana

Kwa bahati nzuri ama mbaya tulikutana naye kijijini kwenye msiba wa mama wa brigadia mmja amvaye pia ni mama yangu mdogo kwa kweli mie sikuvumilia nilimuuliza kwanini hali ile ya october ilitokea
Akanijibu kuwa ni wananchi wanataka nchi yao
Nikamuuliza kwanini sasa mliwazuia tena kwa kuangamiza baadhi yao
Akajibu sisi tulikuwa kazini

kisha akaendelea kusema mimi nimeshangaa wameanza vizuri lkn finishing yao ikawa ya hovyo na sasa itakuwa ngumu sana hawatoweza tena wamebugi vibaya mno wala wasijaribu tena.

Hili nimeliona jana vijana hawa wamekoma hawatorudia tena
Jana tuliwachia uwanja wapambane sisi tukiwa mafichoni lakini nashangaa nao walijificha wameingiza upepo tofauti na wenzao wa kenya wasiokoma

Nchi hii mtawala hupanga anachotaka na hii hali itadumu sana japo mwanajeshi yule schoolmate wangu alinambia kuwa 2030 yatatokea mabadiliko makubwa sana lkn sio kuking'oa kisiki hiki.
Saa 24 nchi ilikuwa mikononi mwa jeshi dhidi ya mtandao.
 
sasa kutafuta kiki na public sympathy kwa porojo kama hizo zitakufaa nini kwa mfano gentleman?🐒
mie nimelitumia jukwaa hili kupasha habari wengine dhidi ya kile nilichokiona na hii ni haki yangu kikatiba na wala sikuvunja sheria sijui we inakuumiza wapi
 
Back
Top Bottom