Kurudi nyuma sio kushindwa bali kujipanga vyema imara zaidi Nakupinga katika hoja yako na huyo rafiki yako nadhani bado ni kuruti hajawiva vizuri kwenye hizi medani yeye kazi yake kutumikia order za wakubwa. Watanganyika walijifunza sana yaliyotokea Oct29 na ni vyema 7/7 Hawakuandamana.Nikuulize Unapigana vipi? na Adui Mwenye Bunduki wakati wewe silaha yoyote huna hata mawe, Nchi haidaiwi kizembezembe.Maandamano ni mipango madhubuti i Usidhani zile Damu za ndugu zetu zimelala Jidanganyeni siku Watanganyika watapomilikishwa silaha Jibu Mtakuwa nalo wenyewe.