4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
duh na ww kumbe ni kichaa , baba huna akili babaYani nato nzima kijeshi ni sawa na majimbo manne ya urusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh na ww kumbe ni kichaa , baba huna akili babaYani nato nzima kijeshi ni sawa na majimbo manne ya urusi
Sasa wakifanya wakatae ili iweje wakati wamefanya ?, Kwao wanaona NATO kujiingizia / Kujisogezea kwa kupita Ukraine ni Hatari kwa Security ya Russia Kwahio wameamua kuhakikisha hilo halitendeki na wanachokifanya wamekifanya..., Kwa logic yako hata kesho Chizi mmoja akilipua Shule huko Marekani waseme ni wenyewe ? Au ile Ndege iliyoanguka Bongo juzi na yenyewe waseme wamefanya ?kwann wanalipua bembea za watoto huko Ukraine na hawakatai ? kwann wanalipua makaz ya watu na hawakatai ?
Nani kaomba msamaha?Hebu Tuwekee hapa hiyo link!mwenzio tangu jana anaomba msamaha tu
Hizi u turn mnazopiga ni hatari aisee!Mrusi hawezi kupigwa kama yule mwarabu wa Iraq, huyu ni mzungu mwenzao ni vile tu Putin kajifanya kichwa maji, ila Warusi sio mazombi ya kiislamu, nyie tu ndio mnawaabudu mkidhani mnakomoa Marekani. Wazungu hawatakubali kumsambaratisha sana....
hizo propaganda, huwezi kurusha missile kwaa kukusudia ukaua wawili. Hiyo sio kweli.Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali kwamba sio wao walishambulia, wametumia nguvu nyingi sana kujitetea, uchunguzi unafanywa ndio ifahamike nini cha kufanywa baada ya hapo....
Urusi wanasema aliyefanya hilo shambulizi anataka kuwachongea kwa NATO
========================
Russia's defence ministry on Tuesday denied reports that Russian missiles had hit Polish territory, describing them as "a deliberate provocation aimed at escalating the situation".
It added in a statement: "No strikes on targets near the Ukrainian-Polish state border were made by Russian means of destruction."
Wreckage reportedly found at the scene "has nothing to do with Russian weapons", it said.
Putin anafurahia tu show, huyo ndio Vlast Mir Mtawala wa Dunia.Putin atajuta kuanzisha vita
Hiyo haitokuwepo,wapo ndani tu wanapakana mafuta,maana wakijaribu kuattack Russia,jua kabisa epl itakua imeishia pale na arsenal ndiyo bingwaTunasubiri Ile "an attack on one,is an attack on all"
Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali kwamba sio wao walishambulia, wametumia nguvu nyingi sana kujitetea, uchunguzi unafanywa ndio ifahamike nini cha kufanywa baada ya hapo....
Urusi wanasema aliyefanya hilo shambulizi anataka kuwachongea kwa NATO
========================
Russia's defence ministry on Tuesday denied reports that Russian missiles had hit Polish territory, describing them as "a deliberate provocation aimed at escalating the situation".
It added in a statement: "No strikes on targets near the Ukrainian-Polish state border were made by Russian means of destruction."
Wreckage reportedly found at the scene "has nothing to do with Russian weapons", it said.
Ulaya patachafuka mzee,na hii njaa itazidi Mara dufu,hakuna LGBTQ atakayethubutu kushambulia Russia waziwaziAkibainika ni yeye mbona analo, natamani sana iwe hivyo ili huu upuzi uishe mapema.
Acha kuwa na akili mgando sasa moscow imegeuzwa majibu we unafaidika na nn yaan wabongo sisi tunashangilia vitu ambavyo cyo hata vya kushangilia halqfu usikute ww ni baba wa mtu kutwa jf kulumbana kuhusu vitaKwasababu Moscow imegeuzwa majivu sio 😂
Hebu soma tena nilichoandika alafu ufute hii.Acha kuwa na akili mgando sasa moscow imegeuzwa majibu we unafaidika na nn yaan wabongo sisi tunashangilia vitu ambavyo cyo hata vya kushangilia halqfu usikute ww ni baba wa mtu kutwa jf kulumbana kuhusu vita
NATO is not GOD's ARMY, NATO can be defeated as long as GOD wishes , You remember in Libya NATO caused deaths of civilians (more than 300,000 civilians)Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali kwamba sio wao walishambulia, wametumia nguvu nyingi sana kujitetea, uchunguzi unafanywa ndio ifahamike nini cha kufanywa baada ya hapo....
Urusi wanasema aliyefanya hilo shambulizi anataka kuwachongea kwa NATO
========================
Russia's defence ministry on Tuesday denied reports that Russian missiles had hit Polish territory, describing them as "a deliberate provocation aimed at escalating the situation".
It added in a statement: "No strikes on targets near the Ukrainian-Polish state border were made by Russian means of destruction."
Wreckage reportedly found at the scene "has nothing to do with Russian weapons", it said.
NATO is not GOD's ARMY, NATO can be defeated as long as GOD wishes , You remember in Libya NATO caused deaths of civilians (more than 300,000 civilians)
NUCLEAR WAR has no WINNER ....Joe Biden at his knowledge accepted that there is No winner in NUCLEAR WAR
Elon Mask ambaye ni Genius kuliko wewe alisema NATO inaweza ikaondoka ndani ya DAKIKA 30 NA URUSI inaweza ikachakazwa na NATO in 30 MINUTES
TUNAKEMEA vita tunakemea WACHOCHEZI WA VITA pia
UKRAINE WATU wanaishi kwa shida kila siku makombora hawalali hawana amani wanashindwa kufanya mazungumzo sababu ya UCHOCHEZI wa NATO
ILI kuwa ni raisi zaidi kumtoa URUSI ukraine kwa mazungumzo kuliko kwa VITA
RUSSIA has nothing to LOSE this time wamesha jichokea vikwazo vyotee wanavyo wanaishi maisha magumu HAWATAONA SHIDA kutumia NUCLEAR ukraine
TUNA ENDA WAPI??? ....
Trump alisema hasingekuwa yeye ndiye Rais wa USA basi mwaka 2019 walikuwa wanaivamia North Korea!Mwenzake China aligundua mapema.
Ila najua China pamoja na North Korea kama sio 2025 basi 2030 zitaingizwa vitani ili kupunguzwa nguvu
Thubutu yake 🚮Trump alisema hasingekuwa yeye ndiye Rais wa USA basi mwaka 2019 walikuwa wanaivamia North Korea!
Naona kabisa kuelekea 2030 North Korea ikaingia Vitani unless Kim ajirekebishe.Trump alisema hasingekuwa yeye ndiye Rais wa USA basi mwaka 2019 walikuwa wanaivamia North Korea!