Tuliwaambia kugusa NATO ni kufuru, Urusi ajitetea sana hakuhusika na shambulizi la Poland

Hizo chuki zako Kwa dini ya kiislamu sio afya kabisa,Mimi ni mkristu lakini siwezi kujiunga mkono Kwa matamshi Yako ya chuki dhidi ya wafuasi wa dini ya kiislamu!

Aaah wapi, Ukristo sio kitu cha kuiga....hehehe leo unageuka hadi dini yako.
 
Mpaka dini mnatulazimishia?Mtu humjui halafu unakuja na kauli za rejareja kama hizi!!!!Sina muda wa kukupa ushahidi ila ukiipenda tafuta comments zangu za miaka ya 2014 huko utanielewa vema!
 
Hakuna mtu huchukia hiyo dini yenu, matendo yenu ndio huwa ya hovyo, kulazimisha watu huo uzombi wenu kwa kukata vichwa, mara wengine mnajilipua mabomu, mumesababisha nikiskia mtu yeyote anajitaja wa hiyo dini namdharau.
 
Russia anatumia hadi wafungwa kuwapeleka vitani kwa nguvu baada ya kuishiwa na wanajeshi na matokeo yake wamemponza yule kijana wa Zambia.

Taarifa na takwimu nyingi za kijeshi kwa mataifa mengi duniani ni uongo mtupu na tumeona kwa nchi kama Russia kujigamba eti wana wanajeshi zaidi ya laki nane kumbe wanajeshi wao hawafiki hata laki tatu.

Hovyo sana na ndio maana wanapeleka hata wafungwa vitani kwa nguvu na vijana wasio na ajira kwa sababu wameishiwa wanajeshi baada ya wengi kuuwawa na wengine wakajeruhiwa.
 
Ukiherehere wa Ukraine kutuma kombora mpakani mwao
Russia hajitetei bali anajua sio yeye aliyetuma kombora

Hata kama mwanachama yeyote wa NATO akishambuliwa haina maana kuwa NATO wataanzisha vita hapana

Soma Article 4&5 ya NATO
 
Mwambieni ashambulie kwa kudhamiria ndio muone kitakachotendeka, Mrusi ana hulka ya ku-violate mipaka ya majirani, makombora yake hukosea njia mara nyingi tu pale Finland, ila huwa hayakosei njia kwa mwanachama wa NATO maana anajua kipodo chake.
 
Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali kwamba sio wao walishambulia, wametumia nguvu nyingi sana kujitetea, uchunguzi unafanywa ndio ifahamike nini cha kufanywa baada ya hapo....
Urusi wanasema aliyefanya hilo shambulizi anataka kuwachongea kwa NATO
========================

Russia's defence ministry on Tuesday denied reports that Russian missiles had hit Polish territory, describing them as "a deliberate provocation aimed at escalating the situation".

It added in a statement: "No strikes on targets near the Ukrainian-Polish state border were made by Russian means of destruction."

Wreckage reportedly found at the scene "has nothing to do with Russian weapons", it said.
Umesahau Biden aliposema kwa bahati mbaya kuwa Putin lazima aondolewe walivyojitetea kinoma hao wamarekani.
Ni diplomasia tu, and bila shaka hayo mabomu hayakuwa yamelengwa huko yatakuwa yalikosea njia yakachanganyikiwa
 
Mwambieni ashambulie kwa kudhamiria ndio muone kitakachotendeka, Mrusi ana hulka ya ku-violate mipaka ya majirani, makombora yake hukosea njia mara nyingi tu pale Finland, ila huwa hayakosei njia kwa mwanachama wa NATO maana anajua kipodo chake.
Mkuu vita ni vigumu sana kutokea kwa mataifa makubwa, ndio maana nimeandika msome articles 4,5
Leo wanachama wana kikao ila walijua kabisa sio Russia ila ni mapaparazi tu ndio walikurupuka

Dunia ya leo kila nchi inapambana na mlo wake, kuingia vita sio option kabisa

Hapa tunaweza kufokeana na kujibizana na kuliamsha kama vile vita inaanza sasa hivi
Ila wenzetu wanategemeana kwa mambo mengi sana
 
Kila siku humu pro-Russia wanasema Urusi anapigana na mataifa ya NATO, tumekua tukijibu kwa kuwaambia siku moja ateleze aguse hata kakijiji ka taifa ndani ya NATO ndio mje mseme, sasa kuna kombora limepiga shambani kwenye mpaka wa Poland na kuua watu wawili, Urusi wamekimbilia kukatalia mbali kwamba sio wao walishambulia, wametumia nguvu nyingi sana kujitetea, uchunguzi unafanywa ndio ifahamike nini cha kufanywa baada ya hapo....
Urusi wanasema aliyefanya hilo shambulizi anataka kuwachongea kwa NATO
========================

Russia's defence ministry on Tuesday denied reports that Russian missiles had hit Polish territory, describing them as "a deliberate provocation aimed at escalating the situation".

It added in a statement: "No strikes on targets near the Ukrainian-Polish state border were made by Russian means of destruction."

Wreckage reportedly found at the scene "has nothing to do with Russian weapons", it said.

Wamekana kama Uk alivyokana kuharibu Nord Stream.

usichojua ni kuwa licha ya tofauti zao, Nato, Russia na China wanaheshimiana sana na si rahisi kuingia vitani kama mnavyowaza nyinyi.

Wote wanajuana uwezo wao!..
 
Mkuu vita ni vigumu sana kutokea kwa mataifa makubwa, ndio maana nimeandika msome articles 4,5
Leo wanachama wana kikao ila walijua kabisa sio Russia ila ni mapaparazi tu ndio walikurupuka

Dunia ya leo kila nchi inapambana na mlo wake, kuingia vita sio option kabisa

Hapa tunaweza kufokeana na kujibizana na kuliamsha kama vile vita inaanza sasa hivi
Ila wenzetu wanategemeana kwa mambo mengi sana

Kwani huyo Urusi mnayemshabikia nini kilimtuma aingie vitani, hasara yote ambayo ameingia mpaka jeshi lake limefutika hadi anafuata wa akiba, was it necessary?

In fact hiyo NATO ilikua imeanza kutelekezwa na kudharauliwa na wanachama wake, ila baada ya hicho alichofanya Mrusi kwa Ukraine ameipa NATO validity, ameipa muamko mpya, amesababisha ionekane ya maana na muhimu sana, wanachama wanataka kuongezeka wakiwemo majirani wa Urusi hususan Finland mwenye mpaka mrefu na urusi kama kutokea Dar mpaka Kigali.
 
Wamekana kama Uk alivyokana kuharibu Nord Stream.

usichojua ni kuwa licha ya tofauti zao, Nato, Russia na China wanaheshimiana sana na si rahisi kuingia vitani kama mnavyowaza nyinyi.

Wote wanajuana uwezo wao!..

Ndicho nilichokisema, wazungu hupigana kistaarab kidogo sio kama miarabu yenu kutwa kuuana na kulaumu Marekani kwamba wanachonganishwa.
 
Russia anatumia hadi wafungwa kuwapeleka vitani kwa nguvu baada ya kuishiwa na wanajeshi na matokeo yake wamemponza yule kijana wa Zambia.

Taarifa na takwimu nyingi za kijeshi kwa mataifa mengi duniani ni uongo mtupu na tumeona kwa nchi kama Russia kujigamba eti wana wanajeshi zaidi ya laki nane kumbe wanajeshi wao hawafiki hata laki tatu.

Hovyo sana na ndio maana wanapeleka hata wafungwa vitani kwa nguvu na vijana wasio na ajira kwa sababu wameishiwa wanajeshi baada ya wengi kuuwawa na wengine wakajeruhiwa.
umekurupuka.
 
Ndicho nilichokisema, wazungu hupigana kistaarab kidogo sio kama miarabu yenu kutwa kuuana na kulaumu Marekani kwamba wanachonganishwa.
Yenu na nani?

Mimi labda hatuelewani. Naheshimu sana Millitary Powers akiwemo US Russia na Nato(Uk,Ger na Fra) akiwemo na China hivi sasa.

Ukitaka upigwe ufutwe kwenye ramani ni pale ukikosa sapoti ya hawa 3 .

Nasisitiza Super Powers waheshimiwe wana Siri nyingi na mambo mengi. Russia anaweza akakubali kuiachia Ukraine lakin Zele atoke na Us wakaelewana. Zele ataondolewa chap na patatulia.
 
Urusi usimtaje hapo, nilikua namheshimu sana kumuogopa na kumuona wa maana sana kumbe useless, alikua tegemezi hata la waarab lakini hiki alichofanywa na kataifa kadogo Ukraine hapaswi kutajwa kwenye sehemu yoyote wakitajwa wengine.
Alichosalia nacho ni manyuklia tu, na ndio sababu kwanini inakua vigumu kumpiga maana atafanya maamuzi ya MAD (Mutually Assured Destruction), yaani afe ila aache ameharibu pakubwa.
Usupapawa ni kama kilifanywa kwa Iraq, unapigwa na mji mkuu unachukulia na jeshi lako lote linasalimu amri....sio hii aibu ya Urusi kujaribu kuparamia Kyev akapokea za uso na kukimbia.
 
Urusi hasemi uwongo lakini hata kama angefanya yeye NATO wasinge msogelea afu mnao jidai Mrusi anamuogopa Nato wakati anapigana nayo pale Ukraine.

Mimi nasema kama Mrusi akipiga nchi ya Nato hao Nato hawawezi kufanya kitu ni maneno mengi tu.

Kumbukeni US alimuambia Mrusi akigusa Ukraine ataface serious Qusqueance alifanya nini USA.
 
Urusi usimtaje hapo, nilikua namheshimu sana kumuogopa na kumuona wa maana sana kumbe useless, alikua tegemezi hata la waarab lakini hiki alichofanywa na kataifa kadogo Ukraine hapaswi kutajwa kwenye sehemu yoyote wakitajwa wengine.
Alichosalia nacho ni manyuklia tu, na ndio sababu kwanini inakua vigumu kumpiga maana atafanya maamuzi ya MAD (Mutually Assured Destruction), yaani afe ila aache ameharibu pakubwa.
Usupapawa ni kama kilifanywa kwa Iraq, unapigwa na mji mkuu unachukulia na jeshi lako lote linasalimu amri....sio hii aibu ya Urusi kujaribu kuparamia Kyev akapokea za uso na kukimbia.
Hapa ndo tunapingana.

Vita ya Russia na Ukraine ni vita ya kimkakati kati ya Russia na Nato. (vita kivuli).

Mkuu amini nakwambia Russia anabalance economy , nchi yake haiko fuly vitani .

Ndo maana hata NATO hawataki kumpa Ukraine makombora ya masafa marefu kuishambulia Moscow direct sababu Russia watainvoke 'Article yao' ya kujihami kwa nguvu yeyote. Vita itaisha na maafa makubwa sana .
 
Kwani zile satellite hazionagi makombora yanatoka wapi? Afu vp mtaendlea kukaa kherson kyiv iwe majivu au mtarudi tena kyiv kherison iwe kwaheri.
 
Back
Top Bottom