FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Baada ya mwezi si atasajili yeye mwenyewe kwa kuweka fingerprint, na itasajili moja tu? Sasa hiyo ya ziada ya kufanya utaoeli asiyoitambua itasajoliwa vipi? Utasemaje huijui na uliweka kidole mwenyewe?!Kwahiyo baada ya mwezi inaruhusiwa kusajili line nyingine baada ya miezi 6 ttz linarudi palepale
Kwanini? Utasemaje laini huitambui wakati uliweka finger print mwenyew?!Bado sio mwarobaini.
Kwann sasa hivi mtu akijisajili haweki fingerprintBaada ya mwezi si atasajili yeye mwenyewe kwa kuweka fingerprint, na itasajili moja tu? Sasa hiyo ya ziada ya kufanya utaoeli asiyoitambua itasajoliwa vipi? Utasemaje huijui na uliweka kidole mwenyewe?!
Kanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza kanuni hii mpya atatueleza, wakala alimsajilisha vipi namba ya ziada? Maana yake mwenye NIDA ndio tapeli. Na namba zote zaNIDA yake zitafungiwa hadi atoke shimoni akatoe maelezo polisi yeye mwenyewe, wala hatutamtafuta.
NB: haya ni mapendekezo yangu binafsi.
Kwanini? Utasemaje laini huitambui wakati uliweka finger print mwenyew?! Hata huu ni mfumo mpya, na mimi nimeshatuliza kichwa kwa niaba yaoHuu sio mwarobaini, ni namna ya kuwapa Police ulaji, Hili swala mamlaka wanaliweza Kimfumo, hawataki tu kutuliza vichwa
Hawapy 😂ma IT wamemaliza Chuo hawana kaz watakuja na mbinu tu muafrika anazamia chini ya boot la bas na anafika anakoendaKanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza kanuni hii mpya atatueleza, wakala alimsajilisha vipi namba ya ziada? Maana yake mwenye NIDA ndio tapeli. Na namba zote zaNIDA yake zitafungiwa hadi atoke shimoni akatoe maelezo polisi yeye mwenyewe, wala hatutamtafuta.
NB: haya ni mapendekezo yangu binafsi.
Ndio maana mifumo huboreshwa daily. Kwa mbinu ya sasa muarubaini ni huuHawapy 😂ma IT wamemaliza Chuo hawana kaz watakuja na mbinu tu muafrika anazamia chini ya boot la bas na anafika anakoenda
Tatizo wanaoiba wanatumia line za watu...kwaio watakao kamatwa most of the time wanakua hawahusiki!Kanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza kanuni hii mpya atatueleza, wakala alimsajilisha vipi namba ya ziada? Maana yake mwenye NIDA ndio tapeli. Na namba zote zaNIDA yake zitafungiwa hadi atoke shimoni akatoe maelezo polisi yeye mwenyewe, wala hatutamtafuta.
NB: haya ni mapendekezo yangu binafsi.
Bado haiko sawaKanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza kanuni hii mpya atatueleza, wakala alimsajilisha vipi namba ya ziada? Maana yake mwenye NIDA ndio tapeli. Na namba zote zaNIDA yake zitafungiwa hadi atoke shimoni akatoe maelezo polisi yeye mwenyewe, wala hatutamtafuta.
NB: haya ni mapendekezo yangu binafsi.
Kwa laini zilizosajiliwa baada ya kuanza kwa kanuni hii, utasemaje laini huitambui wakati uliweka finger print mwenyewe?! Kama ulimsajilia ndugu yako, tupeleke kwake!Tatizo wanaoiba wanatumia line za watu...kwaio watakao kamatwa most of the time wanakua hawahusiki!
Kwanini? Utasemaje laini huitambui wakati uliweka finger print mwenyew?! Hata huu ni mfumo mpya, na mimi nimeshatuliza kichwa kwa niaba yao
Kwanini? Utasemaje laini huitambui wakati uliweka finger print mwenyew?! Kama ulimsajilia ndugu yako, tupeleke kwake!Bado haiko sawa
Kwanini? Utasemaje laini huitambui wakati uliweka finger print mwenyew?! Kama ulimsajilia mumeo njoo nae polisi!Akili za ccm hizi
An argument from the short-sighted mind person.Kanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza kanuni hii mpya atatueleza, wakala alimsajilisha vipi namba ya ziada? Maana yake mwenye NIDA ndio tapeli. Na namba zote zaNIDA yake zitafungiwa hadi atoke shimoni akatoe maelezo polisi yeye mwenyewe, wala hatutamtafuta.
NB: haya ni mapendekezo yangu binafsi.
Kwa laini za simu, ukishasajili, huitaji tena kuweka fingerprint ili kuset password yako, hivyo hata asiye mmliki anaweza kutoa pesa toka kwenye laini yenye jina ka mtu mwingine. Umeeleza mengi bila hoja yoyote ya msingi.An argument from the short-sighted mind person.
Je, hilo ndiyo suluhisho sahihi la tatizo uliloeleza?
Je, umeshawahi kujiuliza ni kwa nini mtu ambaye siyo mmiliki wa akaunti yenye fedha kwenye benki yoyote ile hawezi kufanya muamala wa kutoa fedha kutoka kwa Mhasibu wa Benki bila ridhaa ya màandishi kutoka kwa mmiliki halali wa akaunti ya benki anayetambulika na benki husika? Umeshawahi kujiuliza swali hili?
Je, Hao matapeli wa mitandao ya simu huwa wanawezaje kutoa fedha kutoka kwa Namba ya simu iliyosajiliwa kwa utambulisho wa mtu mwingine bila ya kushitukiwa au bila ya kukamatwa? Is it possible?
Mbona kwenye benki wezi wa fedha zilizotolewa kwenye akaunti ya mtu huwa wanakua tracked na kuweza kukamatwa hata kama mwizi husika alifanya muamala wa wizi akiwa katika nchi nchi nyingine iliyopo mbali kwenye bara lingine hapa duniani? Kwa nini suala hili linashinsikana kwa upande wa mitandao ya simu hapa Tanzania??
Wewe binafsi bado unaamini kwamba hao wanaotakiwa kuzuia au kudhibiti tatizo hili la utapeli na wizi kwenye miamala ya mitandao ya simu hawahusiki kabisa kwenye kadhia hii??
Number nyingi zinazo Fanya utapeli chazo ni mawakala wa kusajiri laini.
Wale jamaa usipo kuwa makin unaweza jikuta unasajiri hata lain mbili za mitandao tofauti bila wew kujua, Kuna time wanakuzugia mtandao unasumbua kumbe lengo utie fingerprint hata mara mbili.
Ndiyo maana Kuna case ya watu wengi kuuziwa Laini na mawakala zilizo sajiriwa na nida za watu wengine.