wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 520
- 1,414
Exactly 💯Agent-Principal Relationship Theory.
Watoa huduma za mitandao ya simu (Service Provider, SP) ambao Mawakala wao wamefanya Uhalifu huo wa kusajili SIM card za uhalifu wanapaswa kuwajibishwa na kuadhibiwa kwenye suala hili la wizi au utapeli wanaofanyiwa wananchi. Hii itakuwa fundisho kubwa sana kwao