Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Mifumo thabiti ya Utambuzi wa Watu kwenye hizi nchi zetu za ki-Afrika. Suala hili limefanywa kwa makusudi na Watawala ili kuweza kujinufaisha binafsi wao wenyewe wakiwa madarakani. Mathalani, watawala wamejuwa wakivuruga makusudi mifumo ya utambuzi wa Watu katika nchi zai kwa nia ovu ya kutaka kuiba kura nyakati za Uchaguzi wa siasa, biashara haramu ya binadamu, magendo na uhalifu katika masuala ya utakatishaji fedha chafu, kufanikisha biashara zao za madawa madawa ya kulevya, na kufanikisha biashara haramu za Magenge ya Uhalifu. Mfano mzuri zaidi kwenye suala hili ni uendeshaji wa biashara ya haramu ya magenge ya Utekaji watu na kuomba "Kikombozi" kutoka kwa Wanandugu wa Mtekwaji inayofanywa na baadhi ya Watawala wahalifu nchini Nigeria kupitia kwa Magenge ya Wanamgambo wa Boko Haram.Kusajili line za simu kunafanyika kienyeji sana. Huwezi kutoa idhini kwa ''vishoka'' mtaani kuchukuwa fingerprints na data za wananchi halafu ukabaki salama. Haya mambo yalitakiwa kufanywa na organs kama polisi au sehemu maalum kukiwa na level ya juu ya utaalam. Nikija kwenye mada yako, tatizo kubwa la Tanzania ni kutokuwa na database ya taifa yenye orodha ya watanzania wote na wakazi wanaoishi Tanzania. Sizungumzii hivi vitambulisho vya NIDA, nazungumzia database ambayo inakuwa updated kila siku. Jambo la kwanza ilikuwa na kuchukuwa data za raia na wakazi wote na kuziweka kwenye database. (msiniambie ni jambo gumu kwa sababu teknolojia siku hizi imekua sana na fedha zipo plus nguvu kazi ya vijana wengi waliomaliza vyuo vikuu). Ukishakuwa na database kazi inakuwa rahisi kabisa, i.e ku-update kwa kuingiza vifo na waliozaliwa. Wanaotoka na kuingia ndani ya nchi systeam za mipakani zinafanya kazi. Zitungwe sheria kuwa bila jina lako kuwa kwenye database huwezi kupata huduma yoyote bila kibali maalum. Baada ya hapo database ndiyo inawezesha mambo mengine yote kama vitambulisho, leseni za magari, kupiga kura na kusajili mambo kama line za simu. Yaani ukitaka kitambulisho kwa mfano unakwenda na kukuta data zako tayari zipo unalipia na kupewa. Wakati wa kupiga kura wanajua automatically raia wenye sifa za kupiga kura ni wangapi na wanapelekewa reminders za kujisajili au wanapelekewa kadi za kupiga kura na siku ya kura wanakwenda wakiwa na kitambulisho na ile kadi. Ukitaka passport unakwenda na kitambulisho na kupewa bila kulazimika kujaza ma-fomu kibao
Ila huu ujinga unalelewa tu mkuu. Mfano, wangesema kila ambae nida yake imetumika katika namba asiyoijua basi awasilishe hiyo namba na wakala atafutwe ajibu tuhuma hizo lasivyo wakala husika anafungiwa usajili na kifungo juu basi michezo ingepungua kwa kiwango kikubwa.Number nyingi zinazo Fanya utapeli chazo ni mawakala wa kusajiri laini.
Wale jamaa usipo kuwa makin unaweza jikuta unasajiri hata lain mbili za mitandao tofauti bila wew kujua, Kuna time wanakuzugia mtandao unasumbua kumbe lengo utie fingerprint hata mara mbili.
Ndiyo maana Kuna case ya watu wengi kuuziwa Laini na mawakala zilizo sajiriwa na nida za watu wengine.
Mimi Sa hivi nimetoka halotel nataka kufuta namba nisizotumia wameniambia system imegoma hadi mamba mpya ninayotumia itimize mwezi sa hadi hapo wangapi wqtakuw wametapeliwaHiyo option ipo tayari miaka mingi, ila tatizo linaendelea sababu ukifuta wewe, mawakala wanasajili laini za ziada toka kwa watu wengine.., na itachukua muda hadi wao waje kubaini na kuzifuta, ambapo zinakuwa zimeshatumika tayari kutapeli na kuwauwa akina ‘Mzee Ayo’!
Hivyo hiyo kanuni mpya ndio muarobaini
Hakuna mwarobaini hapo.Napendekeza kanuni mpya!
Kanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza kanuni hii mpya atatueleza, wakala alimsajilisha vipi namba ya ziada? Maana yake mwenye NIDA ndio tapeli. Na namba zote zaNIDA yake zitafungiwa hadi atoke shimoni akatoe maelezo polisi yeye mwenyewe, wala hatutamtafuta.
NB: haya ni mapendekezo yangu binafsi.
WIZI WA KURA HUFANIKIWA KWA 100%Mpo China au Korea ? .
Tanzania kuna jambo liliwahi fanikiwa ?
Unaweza litaja, kama hakuna hili la utapeli una uhakika dawa ndio hio ?
Huwezi kufanya hivyo kwa sababu watu wana clone namba za simu. Hujawahi kuambiwa wat wanapata messege toka namba yako wakiomba helana wewe hujatuma hizo mesjesi? Sasa huoni utafungia watu NIDA wasio na hatia? Kwa hiyo pendekezo lako ni null and void, asante hata hivyo kwa kujaribuNapendekeza kanuni mpya!
Kanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza kanuni hii mpya atatueleza, wakala alimsajilisha vipi namba ya ziada? Maana yake mwenye NIDA ndio tapeli. Na namba zote zaNIDA yake zitafungiwa hadi atoke shimoni akatoe maelezo polisi yeye mwenyewe, wala hatutamtafuta.
NB: haya ni mapendekezo yangu binafsi.
Kwanini usiangalie laini zako ulizosajili kupitia *106# ?Number nyingi zinazo Fanya utapeli chazo ni mawakala wa kusajiri laini.
Wale jamaa usipo kuwa makin unaweza jikuta unasajiri hata lain mbili za mitandao tofauti bila wew kujua, Kuna time wanakuzugia mtandao unasumbua kumbe lengo utie fingerprint hata mara mbili.
Ndiyo maana Kuna case ya watu wengi kuuziwa Laini na mawakala zilizo sajiriwa na nida za watu wengine.
Kongole. Umepiga pale pale.Hakuna Mifumo thabiti ya Utambuzi wa Watu kwenye hizi nchi zetu za ki-Afrika. Suala hili limefanywa kwa makusudi na Watawala ili kuweza kujinufaisha binafsi wao wenyewe wakiwa madarakani. Mathalani, watawala wamejuwa wakivuruga makusudi mifumo ya utambuzi wa Watu katika nchi zai kwa nia ovu ya kutaka kuiba kura nyakati za Uchaguzi wa siasa, biashara haramu ya binadamu, magendo na uhalifu katika masuala ya utakatishaji fedha chafu, kufanikisha biashara zao za madawa madawa ya kulevya, na kufanikisha biashara haramu za Magenge ya Uhalifu. Mfano mzuri zaidi kwenye suala hili ni uendeshaji wa biashara ya haramu ya magenge ya Utekaji watu na kuomba "Kikombozi" kutoka kwa Wanandugu wa Mtekwaji inayofanywa na baadhi ya Watawala wahalifu nchini Nigeria kupitia kwa Magenge ya Wanamgambo wa Boko Haram.
NB: Nchi ya Nigeria ina idadi ya watu wapatao zaidi ya Milioni 200 ambao wanaishi nchini humo, lakini watu ambao wamesajiliwa rasmi kwenye database ya raia wakazi wa nchi hiyo hawafiki hata idadi ya watu Milioni 22 nchini kote. Aidha, hata SIM cards za simu zilizosajiliwa rasmi kwa utambulisho rasmi ulio halali hazifiki hata Milioni Kumi kwenye nchi hiyo yote kabisa.
That's why Nigeria kuna uhalifu mwingi Sana, na ni vigumu Sana kuwatambua wahalifu hao.
Ukiripoti polisi kuwa umeibiwa na hao jamaa, polisi wana namna ya kuwapata. Ila wanachofanya ni kuwatafuta na kugawana kilichotapeliwa.Huu sio mwarobaini, ni namna ya kuwapa Police ulaji, Hili swala mamlaka wanaliweza Kimfumo, hawataki tu kutuliza vichwa
Hao wezi hawatumii line zilizosajiliwa kihalali,hao ni watu wanajua kucheza na mitandao,wanakuwa na line zaidi ya 500 ambazo Wala hazina hata usajili wa NIDA,wanakuwa wameziingiza kwenye system kwa utundu walio nao,nakuanza kuibia raia.Napendekeza kanuni mpya!
Kanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza kanuni hii mpya atatueleza, wakala alimsajilisha vipi namba ya ziada? Maana yake mwenye NIDA ndio tapeli. Na namba zote zaNIDA yake zitafungiwa hadi atoke shimoni akatoe maelezo polisi yeye mwenyewe, wala hatutamtafuta.
NB: haya ni mapendekezo yangu binafsi.
Hii nayo ni mpyaHao wezi hawatumii line zilizosajiliwa kihalali,hao ni watu wanajua kucheza na mitandao,wanakuwa na line zaidi ya 500 ambazo Wala hazina hata usajili wa NIDA,wanakuwa wameziingiza kwenye system kwa utundu walio nao,nakuanza kuibia raia.