LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
nina laini za makampuni yote, simu zangu mbili zinabeba laini tatu na nyingine inabeba laini nne ongeza smartphone yenye laini mbili hapo unapata laini ngapi? Zote ziko hewani na zingine ni mbili mbili za mtandao mmoja ila laini yangu ya kazi ni moja tu zilizobaki ni za ziada. Siwezi kusajili laini moja kwa kuwa kuna maeneo huwa nafika hakuna mtandao fulani. Simu tofauti nazo zinatofautiana kunasa network kutokana na umbali wa minara, kwa hiyo suluhisho ni kuwa na laini za mitandao tofautiNapendekeza kanuni mpya!
Kanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi.
Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza kanuni hii mpya atatueleza, wakala alimsajilisha vipi namba ya ziada? Maana yake mwenye NIDA ndio tapeli. Na namba zote zaNIDA yake zitafungiwa hadi atoke shimoni akatoe maelezo polisi yeye mwenyewe, wala hatutamtafuta.
NB: haya ni mapendekezo yangu binafsi.