‘Tuma kwa namba hii’ wapatiwa muarubaini, mwisho wao umefika

Exactly 💯
 
Nimecomment kulingana na utaila ulio uandika,.

Kwahyo ulivyo kichwa box unaona huo ndio mwaroban.
 
"Tuma kwa namba hii" bado wapo. Leo mimeipokea message tatu tofauti zenye ujumbe huo. Pia nimepata ujumbe mara tatu kuhusu mganga ambaye hujifanya kakosea namba ya simu ya mwijukulu wake ambaye amefanikiwa kwa kutumia dawa zake. Ni aibu iliyoje pamoja na kujigamba kwamba wamefanikiwa kuondoka matatizo haya, ndio kwanza yanazidi kushamiri. Kwa upande wa teknolojia ya mawasiliano, sisi bado sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…