Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Tuma Salaam Kwa Watu Watatu

Hahaaaa!! Nakusingizia eti?

Nini?

Ulivyofanya unadhani vizuri?

Tooooba!! Ndio nishakuwa matapishi tena. Haki mwaka wangu huu
Wewe ndio umeanza kuninanga kwamba umenifumania.
 
Wewe ndio umeanza kuninanga kwamba umenifumania.
Kwani uongo? Si ulichepuka wewe!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] namuwahi baby wangu.
 
Zimfikie mis chagga popote alipo atayemuona amwambie aje pm
 
Kwani uongo? Si ulichepuka wewe!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] namuwahi baby wangu.
Nenda salama, moyo wangu uko kwa mwingine hivi sasa.
 
Napenda kutuma salam kwa [HASHTAG]#apologise_[/HASHTAG] [HASHTAG]#Leop[/HASHTAG] & [HASHTAG]#Mahondaw[/HASHTAG].
 
...Ni muda kuwakumbuka wanaJF wenzetu popote walipo kwa kuwatumia salaam za kuwatakia kheri kwa kila walitendalo.
  • salaam zangu za kwanza ziende kwa..dada Valentina popote alipo.
  • ...za pili ziende kwa Heaven Sent popote pale alipo
  • na za tatu zimfikie kaka Lizaboni najua yupo kwenye majukumu ya hapa na pale mwambieni The Book namsalimu sana.....UJUMBE "Jogoo wa Shamba Hawiki Mjini"
naachia laini...............................
Awike asiwike patakucha tu....

Japo hujanisalimu, salamu zangu za kwanza ni kwa yule anayeufanya moyo wangu kwenda mbio.. Eli79.

Wa pili ex wangu, nyongo mkalia ini wa ujana wangu QUIGLEY ... namwambia kuwa "Ya kale dhahabu"

Za tatu ni kwa kijana mtanashati Omerta ...bila kumsahau mkaka mzuri sumbai ..

Ujumbe :My heart has four chambers....got it right?
 
mimi???
 
Salam zangu za kwanza ziende kwa
Root
Salam zangu za pili zimfikie
Wa kusoma
Salam zangu za tatu zidondoke kwa wazee wenzangu wa kuweka mzigo
Ujumbe sionekani kwenye ule uzi kanji kanifilisi hali ni mbaya
 
Back
Top Bottom