Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Kama unachepuka usiambiwe jamani?Hakyanani umenichoka, sio kwa kunisingizia huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unachepuka usiambiwe jamani?Hakyanani umenichoka, sio kwa kunisingizia huko.
Wewe ndio umeanza kuninanga kwamba umenifumania.Hahaaaa!! Nakusingizia eti?
Nini?
Ulivyofanya unadhani vizuri?
Tooooba!! Ndio nishakuwa matapishi tena. Haki mwaka wangu huu
samahanni nilisahua kuachia laini, pia natuma salamu kwa LE mutuz,sjui nmepatia jina jaman.
ujumbe akijamba yeye ushuzi ila nikijamba mie ushazu.
Kwani uongo? Si ulichepuka wewe!Wewe ndio umeanza kuninanga kwamba umenifumania.
Nenda salama, moyo wangu uko kwa mwingine hivi sasa.Kwani uongo? Si ulichepuka wewe!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] namuwahi baby wangu.
Nimeogopa kuonekana "zumbukuku"...cc Heaven Sent kwa taarifa zaidi
Hivi Patience123 hiki kilichokuwa kinaendelea unakifahamu?..Mbona hujanipa taarifa
Mhhhh??haya ndugu endelea kulima kila mkoa uwe na mashamba mengi[emoji15] [emoji1]Shamba likiachwa bila kulimwa linaota magugu.
Awike asiwike patakucha tu.......Ni muda kuwakumbuka wanaJF wenzetu popote walipo kwa kuwatumia salaam za kuwatakia kheri kwa kila walitendalo.
naachia laini...............................
- salaam zangu za kwanza ziende kwa..dada Valentina popote alipo.
- ...za pili ziende kwa Heaven Sent popote pale alipo
- na za tatu zimfikie kaka Lizaboni najua yupo kwenye majukumu ya hapa na pale mwambieni The Book namsalimu sana.....UJUMBE "Jogoo wa Shamba Hawiki Mjini"
Ahsante sana.Mhhhh??haya ndugu endelea kulima kila mkoa uwe na mashamba mengi[emoji15] [emoji1]
mimi???Awike asiwike patakucha tu....
Japo hujanisalimu, salamu zangu za kwanza ni kwa yule anayeufanya moyo wangu kwenda mbio.. Eli79.
Wa pili ex wangu, nyongo mkalia ini wa ujana wangu QUIGLEY ... namwambia kuwa "Ya kale dhahabu"
Za tatu ni kwa kijana mtanashati Omerta ...bila kumsahau mkaka mzuri sumbai ..
Ujumbe :My heart has four chambers....got it right?