SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Be free kunitag na pia be free kuniomba ushauriokay!
Na sie tunakusalimia sanaNatuma salamu kwa wana Yanga wote.
sawa pamoja sana mkuu SweetyCandyBe free kunitag na pia be free kuniomba ushauri
Salamu zikufikie na wewe pia mtani wangu...
salamu nimezipokea kwa moyo wa shukrani Mr. Cassano, narudisha upendo kwako pia sana ndugu yangu..!!
Asante tajiri yangu
Nakataaje salamu ya mhasibu kwa mfano😍Foleni ya kutoa salamu kwa ephen_ ni ndefu naomba Vincenzo Jr nifikishie