Tuma salamu kwa Mdau mmoja kwenye huu uzi kuadhimisha siku ya Radio duniani

Salam zimefika muheshimiwa raisi.

Waziri wa mambo ya ndani wa chama cha majobless pro max.
 
Golgotha Magabe pokea zangu salamu
 
Natuma Salamu Kwa ephen wangu lazizi wa ā¤ļø wangu. ephen una Sehemu yako moyoni mwangu.
 
Salamu zangu ziende kwa Mwl Dobele, Mwl Elifuraha, Mwl Msirikale, Padri Bilingi, Mwl Masokola na wazazi wangu. Ujumbe, salamu ni nusu ya kuonana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…