Ndugu yangu, huwezi kubadilisha ambacho mtu mwingine ana amini. Kuwa mpole amini kile unacho amini, acha mwenzao Aamini kile a nacho amini. Nikuulize swali mbona huoji awanacho abudu Wabudha, Shinto, Hindu, Singh nk nk.?Hata birthday sisherehekei.
Mungu hapendi kushare utukufu na miungu.
Tamuzi , muungu wa jua, anaabudiwa na wakristo duniani Kwa kujua na Kwa kutojua tarehe 25 December.
Kila siku ni ya kumshukuru Mungu Kwa kutuletea YESU azaliwe maishani mwetu.
Amen
Hawakuziona mkuu. Tuma Tena.Mimi nilituma Jana kwa Victoire na Evelyn Salt!
Gono limefikaje kwenye Christmas Tena wakuu? 😅😅😅Ina maana kumbe naye karudi kwenye gono alilokuwa anasema lipo?
Mji mgumu huu jamani chaah!
HaswaaShukran sana Mtani. 🙏
Natumai kwako ilikwenda salama kabisa.
[emoji173][emoji173][emoji173]Dr Lizzy binti kiziwi To yeye Shadeeya Evelyn Salt Maxence Melo Mshana Jr kiwatengu mzabzab na wengineo wote jf muwe na sikukuu njema ya Christmas
Sihangaiki na wapagani,Ndugu yangu, huwezi kubadilisha ambacho mtu mwingine ana amini. Kuwa mpole amini kile unacho amini, acha mwenzao Aamini kile a nacho amini. Nikuulize swali mbona huoji awanacho abudu Wabudha, Shinto, Hindu, Singh nk nk.?
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji1545]Bila upendeleo salamu zangu za Christmas ziende kwa ndg mlozi wa Jf Mshana jr
Miaka miwili sasa siruhusiwi kukanyaga hosp ya ruvu. Nadhani dk nimefukuzwa kazi kijanja
Asante sana Dada.Salamu zangu ziende kwa wanaJF wote nikianzia na my favorites Intelligent businessman cocastic Saint Anne DeepPond baba Jay
Asante mtani wangu. SI TUPO FIFA tunajiandaa na Club WC 2025. NBC tumewaachia ninyi