Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Tuma Salamu za Krismas kwa watu wawili Unaowapenda sana hapa JF

Hata wewe umeamua kuniongelea kwa mafumbo? Mmenifanya kama vile nimekosea lecture room. Nimeingia darasa na mainjinia wakati kozi yangu ni journalism 😅😅
Haya mambo ya mahesabu ya mafumbo ulisoma?
Ni vipanga tu ndio tunaelewa
 
Hata birthday sisherehekei.

Mungu hapendi kushare utukufu na miungu.

Tamuzi , muungu wa jua, anaabudiwa na wakristo duniani Kwa kujua na Kwa kutojua tarehe 25 December.

Kila siku ni ya kumshukuru Mungu Kwa kutuletea YESU azaliwe maishani mwetu.

Amen
Wewe kenge tu,yaani unakuta jitu ni lizinzi,liongo,lichawi,limejaa chuki,uchoyo,roho mbaya na linaona sawa tu,halafu eti kusherehekea Krismas ndio dhambi.Nyoko kabisa.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom