Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Nitumie na ya kutolea nikufungulie codeNaona nimeingia kwenye mtumbwi wa vibwengo. Sielewi kabisa code zenu 😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitumie na ya kutolea nikufungulie codeNaona nimeingia kwenye mtumbwi wa vibwengo. Sielewi kabisa code zenu 😅😅
Umbea ni kama Mwalimu wa Mathe,Naona nimeingia kwenye mtumbwi wa vibwengo. Sielewi kabisa code zenu 😅😅
Haya mambo ya mahesabu ya mafumbo ulisoma?Hata wewe umeamua kuniongelea kwa mafumbo? Mmenifanya kama vile nimekosea lecture room. Nimeingia darasa na mainjinia wakati kozi yangu ni journalism 😅😅
Niko nanjilinjii, nalinda nyani 🤣😃Na mimi nilikuwa nasubiria kutoka kwako , nikahisi utanisababishia hata muamala wa soda nikaona kimya kaka
Sio level zangu hizi. Nimeshindwa kwenda na kasi yenu. Ngoja niwaache mtangulieHaya mambo ya mahesabu ya mafumbo ulisoma?
Ni vipanga tu ndio tunaelewa
Alaf ukishafungua codes, nigundue mlikuwa mnanisema Mimi? 😅😅😅Nitumie na ya kutolea nikufungulie code
Shemdarling za kupotea?
Nilikua mapumziko ya sikukuu mpendwa...
Asante Utopolo wangu....
Njema saana shemegi...Shemdarling za kupotea?
Asante sana, mwaka 2024 ukawe wa baraka nyingi sana kwako[emoji7][emoji7]
Wewe ni empty set.Utatumaje salamu Kwa mtu ambae haumjui physically?
Kwanza sikukuu ni mambo ya Watoto na kina Tamuzi
Si ndio hapo?!!,Umemjibu vizuri.Yaani Jitu linakurupuka huko kuja kuharibu uzi wa wengine.Shwaini kabisa.Tuache sisi watoto tutumiane salamu
Unasomaje na kuchangia uzi wa watoto?
Wewe kenge tu,yaani unakuta jitu ni lizinzi,liongo,lichawi,limejaa chuki,uchoyo,roho mbaya na linaona sawa tu,halafu eti kusherehekea Krismas ndio dhambi.Nyoko kabisa.Hata birthday sisherehekei.
Mungu hapendi kushare utukufu na miungu.
Tamuzi , muungu wa jua, anaabudiwa na wakristo duniani Kwa kujua na Kwa kutojua tarehe 25 December.
Kila siku ni ya kumshukuru Mungu Kwa kutuletea YESU azaliwe maishani mwetu.
Amen
Wewe sherehekea tu mkuu.Achana na mkanganyiko.Jamani mwenye maelezo mazuri hii krismas ilitokana na nini maana kuna mkakanganyiko sana hapa kuhusu hii siku
Umbea siyo wa kila mtuSio level zangu hizi. Nimeshindwa kwenda na kasi yenu. Ngoja niwaache mtangulie