Tumaini: Ndoto za leo na matarajio ya kesho

Take it easy what's problem?
wapi nimekuleta tafrani?

Ukishaleta thread hapa hairuhusiwi kupangia watu nini cha kuandika.

Jf a place where we dare to talk Open
Punguza mipasho wewe ni mtoto wa kiume huoni aibu ?
 
Tatizo lako unachukulia vitu personal na kupanic huku ukireact kwa hasira tambua mtu akiweka maoni tofauti na unavyowaza unadhani anakuchukia kumbe sivyo tunajaribu kuchagiza mada ili tupate ile sense of discussions from elite people

Cc min -me
Wewe kijana na huyo mwenzio sio mara kwanza kuleta kejeli na kubadili mwelekeo wa mada kwa kujifanya wajuaji sana

Nimewaepuka sana lakini ni kama mna ajenda yenu nisiyojua

Wewe unaanzisha nyuzi ushawahi kuniona nikija kwenye uzi wako kukukejeli au unahisi hua sioni nyuzi zako tena zingine za kipuuzi

Sijawahi kukataza mtu kutoa maoni Ila hiyo mipasho yenu na mafumbo yenu sipendezwi nayo
 
Sahihi Twin
Exactly
The Thinker 🧠
Karibu tena 😊
 
Uhuru wa kuandika hauondoi wajibu wa kujadili kwa hoja badala ya kejeli, ukiona mada ina mapungufu, ikosoe kwa mantiki ili wote tujifunze. Kejeli huwa haziijengi hoja wala haziongezi maarifa, zinaishia kuvuruga tu mjadala.
Huyu mada zangu zime mzidi uwezo na sio lazima achangie sio lazima kabisa
 
Hua nina tabia ya kunyamaza sana hua natukanwa na sijibu

So kunyamanza kwangu haina maana kila nikipandisha mada wananiletea viwingu
 
Take it easy
 
Hope inatakiwa iwepo huku mchakato unaendelea, ila ukikalisha kiuno tu ndani nakujifanyia mento mastabesheni ya matumaini, hapo ndio ujinga
Kweli mkuu,
hopes ni ujinga ujue kwanini usipo achieve kile unatumainia maumivu yake ni makali sana sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…