Mfano unalima huku unatumaini utamaliza mraba naona nimatumaini mazuri kuliko matumaini ya nitamaliza mraba huku upo kitandani 🤔Kweli mkuu,
hopes ni ujinga ujue kwanini usipo achieve kile unatumainia maumivu yake ni makali sana sana..
Mimi na wewe hatufahamiani kabisa naomba ibaki hivyo🙏🙏🙏mipisho gani?
mtu akitoa maoni tofauti unaita mipisho?
Ohoooo 🙆.Kama ulifanya mchezo mbaya kwishaaaa🤪
Ukiona dalili nyingine huelewi niambie 🤭Ohoooo 🙆.
Dalili mojawapo ni usingizi mwingi.
Kwisha habari yangu.
Kama Kuna mtu ananilimia je?Mfano unalima huku unatumaini utamaliza mraba naona nimatumaini mazuri kuliko matumaini ya nitamaliza mraba huku upo kitandani 🤔
Tayari matumaini yako yapo kwenye mchakato fulani , hivyo ni sawa tuKama Kuna mtu ananilimia je?
Hio umelala huku unatumainia iko kwenye category hiiMfano unalima huku unatumaini utamaliza mraba naona nimatumaini mazuri kuliko matumaini ya nitamaliza mraba huku upo kitandani 🤔
Kutokuelewa vitu ee?Ukiona dalili nyingine huelewi niambie 🤭
Sawa.NimekuelewaTayari matumaini yako yapo kwenye mchakato fulani , hivyo ni sawa tu
Mbona unachanganya matter wapi nimesema tunafahamiana?Mimi na wewe hatufahamiani kabisa naomba ibaki hivyo🙏🙏🙏
Weka humu kijana🗑Mbona unachanganya matter wapi nimesema tunafahamiana?
mh! I wonder
Too late 😁Matumaini yangu kuachana na ya ulimwengu na kuwa padri wa kikatoliki
Mna shida gani nyie 😅Mbona unachanganya matter wapi nimesema tunafahamiana?
mh! I wonder
Ona usivyo na heshima unamuita baba yako kijana dahWeka humu kijana🗑
Umechelewa hapoMatumaini yangu kuachana na ya ulimwengu na kuwa padri wa kikatoliki
Hamna shidaMna shida gani nyie 😅
uchokoz gani sasa mamy😊Acha uchokozi.
Chuki imemzidi uwezo na mi nipo live kwa ajili yake leo muda ninaoMna shida gani nyie 😅
Acha uchokozi.
Wee kumbe ndio lengo aloo🙌Kuweni serious na huu mlumbano, uzi uchangamke tusikae kinyonge