Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Asikudanganye mtu Tanzania hakuna Wasomi na hata ukiangalia wanaojitahidi ndio hawa Akina Mnyika, Kibajaj na wale vyeti feki ambao wanatumia Uwezo binafsi
 
Kwa hiyo mnakubali kuwa Lissu ni mpotoshaji na mzandiki?
Unakubali na nani ? Mimi naongelea Mali za wananchi na mustakabli wa Tanzania sina muda wa kufuatilia personalities Kama jambo ni baya haijalishi unaliita nini....;

Na mzizi wa huu mchezo mzima kama haya so called makubaliano leaves a lot to be desired; na kesho watakapoingia mkataba husika watafungiana chumbani na mkataba kufungiwa kabatini na hawahawa ambao wamekubaliana vitu vyenye utata - Unategemea watakachoingia mkataba ni kwa manufaa ya Taifa ?

 
Hao "wasomi" ndiyo wajinga namba moja na wanaendelea kusomesha ujinga.

Ushahidi kamili tazama wazungu walivyotuchezea kwenye shauri la uchimbaji madini. Wameitumia sheria yetu hiyohiyo mpya iliyotungwa na kina Kabudi na wataalam wa madini kina mhongo na mruma wanatuchapa nayo live, tujione tulivyo wajinga.

Tazama jinsi wanasheria wetu walivyoonesha ujinga wa hali ya juu kwenye ile kesi, ipo mytandaoni, na wameshaambiwa, wangoje siku ya "award" tu. maana yake siku ya ngapi zilipwe. Siyo kuwa kuna shauri tena.
 
Longolongo again
 
Tuko page ya 2 hapa. Simuoni Lissu na sioni hata mmoja aliyejibu swali langu.

Naendelea kuwasubiri tu
Kiukweli nimeisoma IGA ya Tanzania na Dubai several times, bado najiuliza upotoshaji huu wa akina Lissu, Slaa nk unatokea wapi? Mbona iko straight forward tu kwa mambo mengi. Ni Mkataba tu au kuna issue nyingine? Kwamba IGA hii ina shida kwenye suala la ardhi? Au ukomo? Kwamba IGA iseme DPW italipa fedha kiasi fulani au itaajiri wafanyakazi idadi flani?? Hakika watanzania katika hili la Bandari tumetia aibu duniani. Tunaonekana vilaza wa kutupwa kwa kushindwa kuelewa vitu basic kama hivi.
 
Sijaikwepa, nakufahamisha kuwa hata wanasheria wenu uchwara waliliongea hilo mahakamani wakabwagwa, halina mashiko. Dubai wanaweza kuingia mkataba wowote ambao haupo au haujakatazwa kwenye katiba ya muungano wao.
Mikataba ipo ya aina mingi, kuna mikataba hawana sifa ya kuiingia. Kwa hivyo usilete porojo za kusema wana uwezo wa kuingia mkataba wowote.
DP world wapo UK, lakini hakuna IGA kati ya UK na DP World. IGA ni treaty na only states zinaweza zinaweza zikaingia treaty. Linawezekana vipi hilo huku Tanzania.
Huo Muungano wao ulipoteza sifa zao fulani ili kutengeneza umoja wao utakao wawakilisha so acha kupotosha.
 
Kwahiyo wewe ni mhutu!
 
Sasa tuwasaidie Watanzania wasiendelee kufanywa wajinga
Ujinga umeshakuwa tabia, wanaozaliwa Kidigitali ndio watakuja kutoka kwenye hii laana

John Komba Bungeni: CCM ni Kokoro linazoa kila kitu kisafi na kichafu hadi vinyesi
 
Mbona UAE hawalalamiki unalalamika wewe? Unataka kusema UAE hawajaliona hilo hadi wakaanza kulalamika?
 
Mama kaibuwa madudu mengi sana ambayo hata Magufuli sifahamu kwanini aliyambia macho aua labda alikuwa anangoja wakati wake ufike akatangulia yeye, sina uhakika. Niliandika hivi:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…