johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Asikudanganye mtu Tanzania hakuna Wasomi na hata ukiangalia wanaojitahidi ndio hawa Akina Mnyika, Kibajaj na wale vyeti feki ambao wanatumia Uwezo binafsi💯. Kuna groups za WhatsApp ambazo zimesheheni watu tunaojua ni wasomi nchi hii wengine kiwango cha PhD. Ila nikiangalia hoja zao au vitu wanavyopost hususan kwenye saga hili la Bandari, shikamoo FaizaFoxy . Hakika ujinga ndio adui namba moja Tanzania.
Binafsi najiuliza ujinga huu unaondoshwaji ukizingatia wanaojihusisha na huo ujinga tayari wana PhD! Vipi wanashindwa kufanya simple reasoning kiasi wanaburuzwa na kushare vitu vya kipuuzi.