Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Basi futa huu ujinga uliouleta humu tafadhali!Well noted! Thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi futa huu ujinga uliouleta humu tafadhali!Well noted! Thanks
Ungetusaidia sana kujibu swaliHamna ugwiji wowote mmeliingiza Taifa chaka kwa mikataba mibovu! Hakuna wa kuwaamini nyie zipo reference nying za mikataba ya hovyo!!
Rejea angalizo ndugu. Weka majibu acha longolongoHii mihemko uliyokuja nayo hapa sio ya kitoto, naamini na nitaendelea kuamini siku zote, huwa unatetea kitu ambacho hata hukijui, kwa mfano, nina hakika hata ile IGA hujawahi kuisoma, ndio maana nimekuwa nikikuuliza mara nyingi maswali toka pale hujawahi kunijibu.
Ungesoma angalau aticle no 2 ya IGA, kwenye objectives of that agreement pekee, usingekuja kuandika huu ujinga wako uliotujazia hapa. Pale panasema objectives of that agreement is to set a legally binding framework, ndio maana unaambiwa waarabu wako tayari kuanza kazi zao hata kabla ya hiyo HGA yako unayoimba kama kasuku haijasetiwa, walikuwa tayari tangu siku ile ya October 2022 IGA iliposainiwa.
Wewe ndie fool unayeshukuru!Well noted! Thanks
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ligi Kuu ya Tanganyika
Matusi ya nini?Kila siku nakwambia hijab lako limefunika akili yako kabisa. Nina hakika ukilivua hijab akili yako itakaa sawa sawia
Kama kuna wanasheria kama wewe basi ni hatari sanaNimesema sitaki longolongo.
Mimi ni mwanasheria gwiji pia. Nimeweka swali hapo lijibiwe kama nilivyouliza. Hakuna longolongo hapa!!
Weka majibu acha longolongoKama kuna wanasheria kama wewe basi ni hatari sana
Kila siku nakwambia hijab lako limefunika akili yako kabisa. Nina hakika ukilivua hijab akili yako itakaa sawa sawia
Angalizo lipi?Rejea angalizo ndugu. Weka majibu acha longolongo
Unasema tu ni mjinga ikiwa hutuoneshi huo ujinga wake!Nimesikiliza huyo anaeongea, huyo ndiyo poyoyo kabisa, haelewi hata anachokisema nini, mradi aongee tu kinachokuja kichwani mwake.
Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda. Ujinga umetujaa sana.
Sio matusi nimetumia tasifida. Faiza akiacha kutazama mjadala wa bandari kwa mlengo wa kidini akili yake inakuwa superb. Akiingiza tu dini anaharibu.Matusi ya nini?
Rejea tena. Weka majibu acha longolongoAngalizo lipi?
Wewe umeweka matumaini yako yote kwenye HGA, mimi hapo juu nulimekuonesha kutokana na baadhiya vifungu kwenye ile IGA, hiyo HGA yako haina maana tena, tumeshajibana, nawe najua hujawahi kuisoma ile IGA hata kifungu kimoja, ndio maana huwezi kujibu chochote toka pale.
Unaimba tu HGA kwasababu unaona hiyo ndio njia yenu pekee ya kujinasua na maswali mliyoshindwa kuyajibu.
Kwa hiyo huna majibu?Unasema tu ni mjinga ikiwa hutuoneshi huo ujinga wake!
Wewe na huyu bwanako Lord denning ni viazi kweli.
Nimesikitika kusikia eti mwanasheria anaongea upuuzi Kama ule,lisu ni rubbing kabisaNimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.
Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.
Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848
Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.
Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!
Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.
Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.
Nawasubiri!!
Yote aliyoyaongea ni ujinga mtupu, hayajibu hii mada.Unasema tu ni mjinga ikiaa hutuoneshi huo ujinga wake!
Wewe na huyu bwanako Lord denning ni viazi kweli.
Anasikitisha kwa kweliNimesikitika kusikia eti mwanasheria anaongea upuuzi Kama ule,lisu ni rubbing kabisa
USSR