FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hana, ayatowe wapi, poyoyo huyo.Kwa hiyo huna majibu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana, ayatowe wapi, poyoyo huyo.Kwa hiyo huna majibu?
Mwakambuzi amechinjwa mapema SanaKila siku nakwambia hijab lako limefunika akili yako kabisa. Nina hakika ukilivua hijab akili yako itakaa sawa sawia
Naona FISADI umewasiliUmeambiwa uzi huu hautaki longolongo. Jibu mada.
Amefafanua jibu huyo ni LissuWell noted! Thanks
Yule nawaambia kila siku ni mwehu. Siku hizi kazidi kuongea utumbo.Nimesikitika kusikia eti mwanasheria anaongea upuuzi Kama ule,lisu ni rubbing kabisa
USSR
Hapa sasa ndio narudi kwa comment ya Mag3 aliyotuasa never argue with a fool, u will bring me down... and beat me with your experience..Rejea tena. Weka majibu acha longolongo
Kwa anavyopenda uchafu huyo ni nguruwe kabisa. Nguruwe ni nguruwe tu hata akipaka rangi ya mdomo utamkuta dampo!Hapa sasa ndio narudi kwa comment ya Mag3 aliyotuasa never argue with a fool, u will bring me down, and beat me with your experience..
Niliamua ku argue kidogo ili nikuoneshe ujinga wako, ukishauona niondoke.
That shows how stupid you are, none of that is yours. Go fart and get lost.Fools rush in where wise men never go...You can disagree without saying anything. One does not need to win stupid arguments...it saves time, energy, and friends
Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience...Mark Twain
Never wrestle with a pig. You just get dirty, and the pig likes it!
Never play chess with pigeons - they knock over the pieces, poop on the chessboard, and fly away convinced they've won!
A wise man can learn more from a foolish question than a fool can learn from a wise answer!
Dont try to fool people all the time, sometimes just let them fool themselves.
Huwezi kuanzisha ligi wewe halafu unataka wewe mwenyewe kuwa refa na mchezaji.Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.
Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.
Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848
Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.
Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!
Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.
Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.
Nawasubiri!!
Nisamehe mkuu. Mko wachache sanaMimi tafadhali usiniweke kwenye hilo kundi la watanzania vilaza. Nina akili zangu timamu tafadhali
Bahati nzuri ushuzi wote huo umetoka tumboni mwakoNimesoma page saba zote ni ushuzi tu umejaa humu.
Huna habari tumewapa bandari DP World kwa sababu sisi ni wajinga wasio na akili wala uadilifu wa kusimamia kilicho chetu?That shows how stupid you are, none of that is yours. Go fart and get lost.
Sawa, lakini mbona hatutumii akili zetu wenyewe kuzisimamia taasisi zetu kama bandari hadi tuwakabidhi Waarabu?Next time come with what is yours.
Hapana ushuzi huu umetoka kwa mama na baba yako ndio maana huna chembe ya akili.Bahati nzuri ushuzi wote huo umetoka tumboni mwako
Hupendi maneno ya werevu kwasababu ya kuzoea kuishi kwenye ujinga, ndio maana unawapenda wajinga wenzio.That shows how stupid you are, none of that is yours. Go fart and get lost.
Next time come with what is yours.
Kama ni hivyo basi ngoja nikimbie.Sisi watoto tukisikia harufu kama hizo hatusemi neno.Tunaondoka tu.Nimesoma page saba zote ni ushuzi tu umejaa humu.
Tumewapaje Bandari?Huna habari tumewapa bandari DP World kwa sababu sisi ni wajinga wasio na akili wala uadilifu wa kusimamia kilicho chetu?
Sawa, lakini mbona hatutumii akili zetu wenyewe kuzisimamia taasisi zetu kama bandari hadi tuwakabidhi Waarabu?
HadiHupendi maneno ya werevu kwasababu ya kuzoea kuishi kwenye ujinga, ndio maana unawapenda wajinga wenzio.
Unaendelea kuleta longolongo. Page ya 7 hiiHuwezi kuanzisha ligi wewe halafu unataka wewe mwenyewe kuwa refa na mchezaji.
Baada ya huo ubishi kati yako na Lisu ni nani atatuthibitishia ukubwa wa ujinga wako?
By the way vijana waliokuwa na mtazamo wa Lisu walienda mahakamani kuvunja mzizi wa fitna.
Tumeona na kusikia Jaji akimsifia Mwambukusi kwa uwezo wake mkubwa wa kuonesha professionalism katika uwanda wa siasa na sheria.
Kimbia tu maana page ya 7 hii mmepoteana mmeshindwa kujibu swaliKama ni hivyo basi ngoja nikimbie.Sisi watoto tukisikia harufu kama hizo hatusemi neno.Tunaondoka tu.