Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Hii mihemko uliyokuja nayo hapa sio ya kitoto, naamini na nitaendelea kuamini siku zote, huwa unatetea kitu ambacho hata hukijui, kwa mfano, nina hakika hata ile IGA hujawahi kuisoma, ndio maana nimekuwa nikikuuliza mara nyingi maswali toka pale hujawahi kunijibu.

Ungesoma angalau article no 2 ya IGA, kwenye objectives of that agreement pekee, usingekuja kuandika huu ujinga wako uliotujazia hapa. Pale panasema objectives of that agreement is to set a legally binding framework, ndio maana unaambiwa waarabu wako tayari kuanza kazi zao hata kabla ya hiyo HGA yako unayoimba kama kasuku haijasetiwa, walikuwa tayari tangu siku ile ya October 2022 IGA iliposainiwa.
 
Rejea angalizo ndugu. Weka majibu acha longolongo
 
Rejea angalizo ndugu. Weka majibu acha longolongo
Angalizo lipi?

Wewe umeweka matumaini yako yote kwenye HGA, mimi hapo juu nimekuonesha kutokana na baadhi ya vifungu kwenye ile IGA, hiyo HGA yako tayari haina maana tena, tumeshajibana, nawe najua hujawahi kuisoma ile IGA hata kifungu kimoja, ndio maana huwezi kujibu chochote toka pale.

Unaimba tu HGA kwasababu unaona hiyo ndio njia yenu pekee ya kujinasua na maswali mliyoshindwa kuyajibu.
 
Rejea tena. Weka majibu acha longolongo
 
Nimesikitika kusikia eti mwanasheria anaongea upuuzi Kama ule,lisu ni rubbing kabisa

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…