Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Nimesikitika kusikia eti mwanasheria anaongea upuuzi Kama ule,lisu ni rubbing kabisa

USSR
Yule nawaambia kila siku ni mwehu. Siku hizi kazidi kuongea utumbo.

Ngojeni muda mchache ujao atatangaza kanisa lake. Naona wehu wake unampeleka huko, maana sauti kishaanza kuiweka kiuchungaji chungaji. Wehu si mchezo.
 
Hapa sasa ndio narudi kwa comment ya Mag3 aliyotuasa never argue with a fool, u will bring me down, and beat me with your experience..

Niliamua ku argue kidogo ili nikuoneshe ujinga wako, ukishauona niondoke.
Kwa anavyopenda uchafu huyo ni nguruwe kabisa. Nguruwe ni nguruwe tu hata akipaka rangi ya mdomo utamkuta dampo!
 
That shows how stupid you are, none of that is yours. Go fart and get lost.

Next time come with what is yours.
 
Huwezi kuanzisha ligi wewe halafu unataka wewe mwenyewe kuwa refa na mchezaji.

Baada ya huo ubishi kati yako na Lisu ni nani atatuthibitishia ukubwa wa ujinga wako?

By the way vijana waliokuwa na mtazamo wa Lisu walienda mahakamani kuvunja mzizi wa fitna.

Tumeona na kusikia Jaji akimsifia Mwambukusi kwa uwezo wake mkubwa wa kuonesha professionalism katika uwanda wa siasa na sheria.
 
Nimesoma page saba zote ni ushuzi tu umejaa humu.
 
That shows how stupid you are, none of that is yours. Go fart and get lost.
Huna habari tumewapa bandari DP World kwa sababu sisi ni wajinga wasio na akili wala uadilifu wa kusimamia kilicho chetu?
Next time come with what is yours.
Sawa, lakini mbona hatutumii akili zetu wenyewe kuzisimamia taasisi zetu kama bandari hadi tuwakabidhi Waarabu?
 
Haiwezi kuwa IGA(makubaliano kati ya serikali) sababu Dubai si nchi kamili. Tungefanya IGA na UAE ingekuwa sawa.
 
That shows how stupid you are, none of that is yours. Go fart and get lost.

Next time come with what is yours.
Hupendi maneno ya werevu kwasababu ya kuzoea kuishi kwenye ujinga, ndio maana unawapenda wajinga wenzio.
 
Huna habari tumewapa bandari DP World kwa sababu sisi ni wajinga wasio na akili wala uadilifu wa kusimamia kilicho chetu?

Sawa, lakini mbona hatutumii akili zetu wenyewe kuzisimamia taasisi zetu kama bandari hadi tuwakabidhi Waarabu?
Tumewapaje Bandari?
 
Hupendi maneno ya werevu kwasababu ya kuzoea kuishi kwenye ujinga, ndio maana unawapenda wajinga wenzio.
Hadi
Unaendelea kuleta longolongo. Page ya 7 hii
 
Kama ni hivyo basi ngoja nikimbie.Sisi watoto tukisikia harufu kama hizo hatusemi neno.Tunaondoka tu.
Kimbia tu maana page ya 7 hii mmepoteana mmeshindwa kujibu swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…