FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
kwa hayo, ni wazi mada imekuwa ni kofi la ki-kelb kwenu.Mada ya kipuuzi umeiona ya maana kwasababu upeo wako na huyo bwana'ko mnafanana.
Unalifahamu kofi la "ki-kelb"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa hayo, ni wazi mada imekuwa ni kofi la ki-kelb kwenu.Mada ya kipuuzi umeiona ya maana kwasababu upeo wako na huyo bwana'ko mnafanana.
Pana sana kiasi kwamba maneno hayawezi kujaa kwenye karatasi ?Sio masuala mepesi kama sentensi zako zinavyoyaongelea. Bungeni unapita ufupisho wa mkataba mzima kumbuka biashara ni pana sana ya bandari
Na hicho kila kitu kitaletwa Bungeni au kitakuwa wazi ili sisi wadau (wenye mali tujue nini ni nini )?na huko kwenye mikataba ya ukodishaji na upangishaji ndio kila kitu kinawekwa.
Ambazo zinakuwa Siri wala hatujajua / hatutajua ni nini kimo ?; Pili kama hizo kurasa 30 zina utata wa hali ya juu hizo mia mbili ndio zitakuwa sawa na kurekebisha utata wa karatasi 30 ?, Na urekebishaji huo tutajuaje kama umetengeneza au umeharibu zaidi ?; Iwapo hata Samia mwenyewe kuna kipindi alishangaa vipengele vinaongezwa from no where ambavyo mwanzo vilikuwa havipo ?IGA inaweza kuwa na kurasa 30 tu lakini Consession na Lease zinakuwa na kurasa mpaka 200, kila kitu kinawekwa humo kwa kirefu.
Uelewa ni tatizo letu watanzania. Huwezi kupeleka bungeni mkataba ulio tayari kibiashara unapeleka summary tu.Pana sana kiasi kwamba maneno hayawezi kujaa kwenye karatasi ?
Na hicho kila kitu kitaletwa Bungeni au kitakuwa wazi ili sisi wadau (wenye mali tujue nini ni nini )?
Ambazo zinakuwa Siri wala hatujajua / hatutajua ni nini kimo ?; Pili kama hizo kurasa 30 zina utata wa hali ya juu hizo mia mbili ndio zitakuwa sawa na kurekebisha utata wa karatasi 30 ?, Na urekebishaji huo tutajuaje kama umetengeneza au umeharibu zaidi ?; Iwapo hata Samia mwenyewe kuna kipindi alishangaa vipengele vinaongezwa from no where ambavyo mwanzo vilikuwa havipo ?
Tunajikita kwenye technicalities wakati uhalisia na historia inatwambia kwamba kwenye jambo kama hili tulipigwa na tumepigwa na tukiendelea kufanya kesho kama tulivyofanya jana tutaendelea kupigwa...
Kwa hiyo hamna jibu?Kwa kumbukumbu zangu, hili swali ungemwuuliza aliyesema Tanzania itaingiza mapato trillioni kazaa. Hili sio swali la kumuuliza Lissu.
Hawana jibu hadi saivi!kwa hayo, ni wazi mada imekuwa ni kofi la ki-kelb kwenu.
Unalifahamu kofi la "ki-kelb"?
Wewe inaonekana huelewi kabisa!Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.
Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.
Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848
Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.
Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!
Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.
Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.
Nawasubiri!!
Rejea angalizo. Weka majibu sitaki longolongoWewe inaonekana huelewi kabisa!
Kilichosainiwa kati yaTanzania na DP World/Dubai siyo IGA. IGA haisainiwi kati ya nchi na jimbo au kati ya nchi na kampuni. IGA inasainiwa kati ya nchi na nchi.
Hiki kilichofanyika kati ya Tanzania na Dubai na DP World ni mkataba wa kitapeli katika biashara unaohusisha dola. Na yote ni kutokana na tamaa binafsi za watawala upande wa Tanzania.
Kama kweli wewe ni mwanasheria, basi utakuwa mwanasheria uchwara.Nimesema sitaki longolongo.
Mimi ni mwanasheria gwiji pia. Nimeweka swali hapo lijibiwe kama nilivyouliza. Hakuna longolongo hapa!!
Wewe mwenye uelewa unaona ni sawa Mkataba wa Maslahi ya Nchi, Mali ya Nchi uwe Siri na watu wapewe Summary na hio kanuni iliwekwa wapi na nani kasema haiwezi kubadilika; NDA zilikwekwa ili ku-protect Trade secrets kwamba wewe Coca sio lazima uweke wazi kwamba unachanganya chemikali hii na ile kwa kiasi gani hata wao hizo kemikali inabidi uziweke wazi ili watu wajue wanachokunywa sio makapi au kitu ambacho ni alergic kwao....Uelewa ni tatizo letu watanzania. Huwezi kupeleka bungeni mkataba ulio tayari kibiashara unapeleka summary tu.
Kwahio watu wachache ndio wakae kwa manufaa ya mamilioni ambao hio mali ni ya kwao; na sio mara moja au mbili huko nyuma tumepigwa na hao hao so called wazalendo tuendelee kufanya hivyo sababu sheria ambazo always zina-marginalize developing countries walisema iwe hivyo ?; Na hawasemi iwe hivyo kwa kupangia mali zao bali mali zetu ?Ni jukumu la jamii ya wafanyabiashara za bandari wenye uzalendo kukaa chini na kutengeneza mkataba mrefu utakaotetea maslahi mapana ya kizalendo.
Na aliyesema utaratibu huu lazima ufuatwe ni nani na ni wapi ? Yaani leo tukiamua kwa manufaa ya demokrasia uwazi na utawala bora kwamba hizi mali za mwananchi tunaweka wazi jinsi pesa inayotoka itakavyotumika na nani atapata nini kuna mtu atakataa kwamba sio utaratibu ? (Au hizo loopholes ziliwekwa na wanufaika ili waendelee kunufaika)?Kupigwa miaka ya nyuma hakuondoi taratibu za kufuata za kibiashara kati ya nchi na nchi.
Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.
Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.
Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848
Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.
Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!
Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.
Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.
Nawasubiri!!
Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.
Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.
Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848
Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.
Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!
Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.
Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.
Nawasubiri!!
Salute MkuuKabla haujaenda huko kooote na uanasheria wako upepo. Hakuna IGA inayoweza kuingiwa kati ya Dubai na Tanzania, so acha kupotezea watu muda wa kutaka ufafanuzi wa vitu ambavyo existence yake kisheria ni haramu.
Endelea kuendeleza longolongoKama kweli wewe ni mwanasheria, basi utakuwa mwanasheria uchwara.
Kama ungekuwa ni mwanasheria halisi, usingeshindwa kujua, IGA huwa inaingiwa kati ya nani nani.
Ebu tuletee IGA japo moja tu iliyowahi kusainiwa kati ya nchi ni jimbo la nchi nyingine.
Kunywa chai au tafuta chakula alafu soma tena swali!Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato? .kumbe wewe mwenyewe unakiri kuwa haionyeshi mgawanyiko wa mapato. Sasa Kama haionyeshi uoni Kuna tatizo hapo?. Alafu unamwita Lisu akujibu na wakati ushajijibu?.
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Naona unajipinga mwenyewe na kumsapoti Lisu. Kama unakili mwenyewe haionyeshi alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?. Uoni ni tatizo hilo.alafu unamwita Lisu kwa mbembe hii hata chizi bedui anaikataa
Kunywa chai au tafuta chakula alafu soma tena swali!
Maana kutoelewa swali kunafanya sio tu ushindwe kujibu bali uendeleze zaidi longolongo
Iga na meaning immitate.Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.
Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.
Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848
Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.
Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?
Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.
Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!
Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.
Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.
Nawasubiri!!
Tafuta chakula akili ikae sawa ili uelewe maswali na kuweza kuyajibuUshakili haionyeshi na watanzania wanataka ionyeshe. Hatuhitaji maelezo malefu hapa. Sema Tanzania itapata asilimia ngapi? Mambo yasiwe mengi
Usimtetee! Amepotosha na anataka kuendelea kupotosha. Aache upotoshajiMleta mada anaweza kuwa sahihi kutaka Lissu alete ushahidi wa au IGA au/na HGA kuwa na vifungu vinavoonesha mgawanyo, muda wa mkataba nk.
Lakini, kwa kuwa nia yake ni kutaka tupate kuona - naye pia ana wajibu wa kuleta kikataba ya IGA na HGA ambayo nchi yetu iliwahi kuingia ikiwa haina mambo ambayo anataka Lissu athibitishe inayo!! Bandari sio eneo moja pekee la uwekezaji - twende NBC, ATCL, TRL!
Alichofanya ni ile kitu inaitwa “gotcha approach”. Mada yake imekosa msaada - imebaki kuwa swali litakalopuuzwa na Lissu na hata asitusaidie kuona “precedent” katika mikataba yetu!!