Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Tundu lisu yuko majukwa

ani

Tundu Lisu yupo majukwaani anafanya siasa Bukoba, panda jukwaani mpe hilo swali, huku kwenye social media forum tuletee thinking yako na analysis yako juu ya statement zake.
Mbaya zaidi maswali nisehemu yamaisha yote ya tundu hawezi ogopa swali lenye jibu lake lakitoto kama hili
 
Sanaa. Tena Saana

Huu hapa?

1690709606636.png
 
Mbaya zaidi maswali nisehemu yamaisha yote ya tundu hawezi ogopa swali lenye jibu lake lakitoto kama hili
Mwambieni awape majibu yake basi kama hawezi liogopa!

Kama anataka mdahalo na mimi hapa mwambieni pia kuwa nipo tayari
 
Porojo ndeeeefu za kijinga, umeshindwa kujibu swali jepesi tu.

Ndiyo tuseme una macho lakini hayaoni au ndivyo mlivyozowea kuishi namna hiyo, mpaka mnafikia kujidanganya wenyewe? "Swali ni very simple", Tazama hata heading tu ya huu uzi, ndili swali lenyewe.

Naliruduai hapa, hapa hili bandiko lako refu wapi limejibu?

Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?​

Huna tofauti na wale mawakili wabovu na kina mruma waliokwenda kutuabisha ICSID.

cc: Anna Tibaijuka
Hawa hawa akina mruma na Ossolo kuna mudaliwasifu kwelikweli wenye hekima wakaomgea wakapigwa naleo mnataka kutenheneza mruma mwingine baada yamiaka kadhaa mifano mnayo ila mmeshupa mafuvu

huyu dada alicho kuelexa nijibu tosha ila wewe ndio sio mwelewa
 
Kwani English laws maana yake nini?

Huoni hapo chini pia Sheria za Tanzania kwa mikataba mahsusi ya uwekezaji?

Au nikupe miwani?

English Law ni sheria za Tanzania zilizovishwa hijabu ya kiume iliyofungwa kwa hirizi kama hii hapa:

1690710982075.png
 
Sasa unawachukia shemeji zako jamani, wamekukosea nini?

Halafu hiyo picha huyo ni mchina, siyo Mwarabu. Hivi huna hata bwana wa Kiarabu mwenzetu?

Leo umetoka mapema kanisani> Au umesepa kabisa?

Anna Tibaijuka
Yaani kawajibu mpakA mmepata hasira sasa mmeamua kumshushia matusi na hilo ndio kimbilio la mpumbavu
 
Mwambieni awape majibu yake basi kama hawezi liogopa!

Kama anataka mdahalo na mimi hapa mwambieni pia kuwa nipo tayari
Hujafikia level hiyo jina lenyewe unaogopa kujulikana leo ukae kwenye mdahalo na tundu mtu wazi asiyeogopa chamsingi weka namba ya simu tukuchangie uende kwenye moja ya mikutano yake upatiwe nafasi yakuuliza swali lako wewe nimuga mmoja wala huna lolote kichwa mzigo
 
Naona akili zako tayari zimevalishwa hijabu!
maneno "English Law" maana yake "sheria zetu" sio?
Mfyuuu!

Hijabu ya kiumme..
Ma shaa Allah unaliona handsome hilo, mpaka roho haikukupa imebidi umlete.
 
Hujafikia level hiyo jina lenyewe unaogopa kujulikana leo ukae kwenye mdahalo na tundu mtu wazi asiyeogopa chamsingi weka namba ya simu tukuchangie uende kwenye moja ya mikutano yake upatiwe nafasi yakuuliza swali lako wewe nimuga mmoja wala huna lolote kichwa mzigo
Endelea kuishi kwa kukariri tu
 
English Law ni sheria za Tanzania zilizovishwa hijabu ya kiume iliyofungwa kwa hirizi kama hii hapa:
Mama Amon leo unataka kuwa anna tbaijuka? Anawapenda kweli waarabu. Leo naona unahamu nao, unatumwagia mapicha ya mahandsome tu. Si uende pale Kempinski wamejaa saaa hivi mahandsome wa DP World wanamaliza maliza mikataba ya uendeshaji wa bandari. Muda wa IGA bado upo lakini, hawana wasiwasi.

Hivi bado haijatangazwa mikataba ya TPA na DP World?
 
Back
Top Bottom