PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Usitarajie Yanga kuwashinda Simba kwenye jambo lolote nje ya pitch iwe ni mitandaonii, iwe ni kuingia vieanjani, iwe ni manunuzi ya jezi, iwe ni muitikiio wa jambo lolote lile.
Kumbuka, Yanga ni mpaka wahamasishwe, lakini Simba wana hamasishana.
Lijapo swala la Club Yanga husubiri maelekezo na kuhamasishwa, Wakati Simba itakuta wameshalianzisha na kutangulia. Huku wakihamasishana.
GSM angekuwa yupo Simba, naamini sasa hivi wangekuwa tayari wamebeba ubingwa wa Afrika