Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

Kati ya Simba na Yanga, timu gani imetoq Jezi kali msimu huu 2024/25

  • Total voters
    121
  • Poll closed .
Ukweli unamuweka mtu huru 😀 mashabiki wa ubwela roho zinawauma sana
Umeenda pre season umemuacha msemaji wa timu nyumbani, mechi mnacheza gizani kama washirikina, bado ukaudanganya umma unakwenda kutambulisha jezi mbugani hatuoja swala, nyati wala jina la mbuga. Cc ephen_
 
Makolo hawana akili timamu! Eti Dr Restart kawapigia kura Simba na Sanda zao
 
Uzi wa yanga umepoteza uhalisia wake , umekaa kama shati ya Christmas au mashati ya kwaya ya matakatifu Tereza parokia ya kibosho , jezi ya mnyama ni kali mno.
Kwanini jezi zenu miaka mitatu mfululizo style ni ileile hakuna ubunifu mpya zaidi ya mwaka huu mmeweka ubunifu tu wa neno SANDA?
 
Hizi ndio jezi za kwenu ni Mashati ya batiki ya kwaya.
1722106298682.jpg
 
Back
Top Bottom