Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

Kati ya Simba na Yanga, timu gani imetoq Jezi kali msimu huu 2024/25


  • Total voters
    121
  • Poll closed .
Vincenzo Jr ubaya ubwela 😁😁😁😁😁
20240727_215048.jpg
 
Usitarajie Yanga kuwashinda Simba kwenye jambo lolote nje ya pitch iwe ni mitandaonii, iwe ni kuingia vieanjani, iwe ni manunuzi ya jezi, iwe ni muitikiio wa jambo lolote lile.
Kumbuka, Yanga ni mpaka wahamasishwe, lakini
Simba wana hamasishana.
Lijapo swala la Club Yanga husubiri maelekezo na kuhamasishwa, Wakati Simba itakuta wameshalianzisha na kutangulia. Huku wakihamasishana.
GSM angekuwa yupo Simba, naamini sasa hivi wangekuwa tayari wamebeba ubingwa wa Afrika
Kama ubingwa wa Afrika ni makende yako sawa.
 
Back
Top Bottom