Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

Kati ya Simba na Yanga, timu gani imetoq Jezi kali msimu huu 2024/25


  • Total voters
    121
  • Poll closed .
Usitarajie Yanga kuwashinda Simba kwenye jambo lolote nje ya pitch iwe ni mitandaonii, iwe ni kuingia vieanjani, iwe ni manunuzi ya jezi, iwe ni muitikiio wa jambo lolote lile.
Kumbuka, Yanga ni mpaka wahamasishwe, lakini
Simba wana hamasishana.
Lijapo swala la Club Yanga husubiri maelekezo na kuhamasishwa, Wakati Simba itakuta wameshalianzisha na kutangulia. Huku wakihamasishana.
GSM angekuwa yupo Simba, naamini sasa hivi wangekuwa tayari wamebeba ubingwa wa Afrika
Mbumbumbu
 
Simba ni chuo cha mpira wewe 😁
FB_IMG_1708800071658.jpg

Ubwela
 
Kama ubingwa wa Afrika ni makende yako sawa.
Ina maana mpaka sasa bado tu haujayasahau hadi unayafananisha na ubingwa wa Afrika?? Kweli nimeamini ilikuwa ni mara yako ya kwanza kunyonya kende na mchapio wake.
 
Ile ya Simba ni sanda sio jezi jamani mbona hamwelewi
 
Frankly speaking bila kupendelea ,jezi ya Young African ni nzuri saaaana, zimetulia na designer alituliza kichwa ametoa kitu cha tofauti ambacho majority hawakutarajia

Ukweli utakuweka huruuuu!!!
 
Heshimun jf jamani mada gani hizi?
Mbona una complicate maisha! Relax mkuu, sio kila kitu usumbue ubongo, lkn pia kuna jukwaa la elimu humu, kule nadhani kunakufaa, hapa tuachie sisi tusiokuwa griti thinka (kwa mawazo yako wewe lkn)
,, by the way Yanga wana jezi zao mkato wa kitenge kwa fundi mnyumanga,, kisha wana lunyasi Simba sports uzi wao wa kiwango cha dunia..
 
Back
Top Bottom