Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora blauzi kuliko vile vitenge na zulia.Hiyo sanda ukiiona live bila filter ipo kama blauzi....
Kitenge na sanda bora kitenge broBora blauzi kuliko vile vitenge na zulia.
Hata Nikipewa Bure sichukui Jezi ya Yanga Bora ya Msimu uliopita ambayo hata Mimi nilitamani Kuvaa nikiwa Nyumbani ni ya Msimu uliopitaElfu tano unachukua?
Yanga hamna jezi pale
Unavaa vipi zulia ?Hata Nikipewa Bure sichukui Jezi ya Yanga Bora ambayo hata Mimi nilitamani Kuvaa nikiwa Nyumbani ni ya Msimu uliopita
Gen Z ya Tz........hovyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Ya msimu uliopita Ilikuwa Jezi ile sio Zulia ila ya Sasa dah Tandiko la kukanyagia MiguuUnavaa vipi zulia ?
Tatizo ina rangi nyeupe ambayo katiba ya klabu yetu imepiga marufuku matumizi yakeNimeipenda hio black!
Ameishiwa ubunifu, vijana aliokuwa anawategemea hawapo kwake tenaMkuu huyu mtu inapaswa alindwe Kwa wivu mkubwa mnoooo Makolo wasije wakamshitaki Kwa huu Ubakaji😂
Nimeipenda hii ya 5G 🤣🤣🤣Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Hiki alichokifanya Sheria Ngowi ni udhalilishaji wa wazi kabisa Kwa upande wa pili,siyo kudhalilisha tu bali ameamua kubaka hadharani!
View attachment 3054173
MO mswahili mswahili tuAsa kwanini asiwe MO awe GSM?