Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

Kati ya Simba na Yanga, timu gani imetoq Jezi kali msimu huu 2024/25


  • Total voters
    121
  • Poll closed .
Usitarajie Yanga kuwashinda Simba kwenye jambo lolote nje ya pitch iwe ni mitandaonii, iwe ni kuingia vieanjani, iwe ni manunuzi ya jezi, iwe ni muitikiio wa jambo lolote lile.

Kumbuka, Yanga ni mpaka wahamasishwe, lakini Simba wana hamasishana.

Lijapo swala la Club Yanga husubiri maelekezo na kuhamasishwa, Wakati Simba itakuta wameshalianzisha na kutangulia. Huku wakihamasishana.

GSM angekuwa yupo Simba, naamini sasa hivi wangekuwa tayari wamebeba ubingwa wa Afrika
 
Kuna mmoja mwisho wa siku atakuwa na jezi za pink, ni vyema timu zikabaki na rangi yake ya asili kama zilivyo timu nyingi Ulaya, dah lakini huku si ulaya...Fani ya ubunifu Bado inahitaji mauwezo ya kutosha hapa TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…