PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Jean Piere Bemba, alidakwa na ICC Kwa vifo 200
the current Deputy Prime Minister and
Minister of Defense of DRC.

ALIKUA KIONGOZI WA WAASI WA MLC CONGO.

Ila Chande ni zaidi ya JAJI AISE
 
Nimesikia 818
 
Ewaaaaaa! Baaaamh!

Ukombozi umekaribia. No reverse imeenda hiyo.

Hii ndio habari ICC walikuwa wanasubiri.

Wamejitia kitanzi

Yajayo yanafurahisha…

Subiri majibu ya BBC CNN watakavyojibu

Hii Wanasema nzi kafia kwenye kidonda.

Wamejifunga wenyewe.
 
Binafsi naona kama tume imemuangushia jumba bovu.
 
Mkuu punguza hasira

CCM haiwezi kuachia dola kizembe hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…