Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,748
Nimeona taarifa ya Moody's kutu downgrade kutoka B1 mpaka B2, na hiyo imejitokeza ndani ya masaa 48 yaliyopita na masaa 72 kabla Tundu Lissu hajarudisha form ya uteuzi.
Kwanza kabisa kuwa downgraded ni jambo baya sana kwa nchi yetu, kwa sababu itawaogopesha investors na taasisi za fedha kukopesha wakopaji katika nchi ya Tanzania, kwa wakopaji binafsi na serikali yetu. So maana yake ni kwamba itaiongezea Tanzania gharama za kukopa nje kitu ambacho ki uchumi kitakuwa na athari zake kadri mda unavokwenda mbele.
Lakini tujiuluze, why now? na ghafla hivi tumekuwa downgraded hata kabla hatujafika uchaguzi mkuu?
Kwa tafsiri yangu, mi nadhani kati mda nchi inapaswa kuwa makini na macho ni kipindi hiki. Kinachotendeka sasa hivi, nadhani ni red light kwa serikali iliyopo madarakani.
Wasipokuwa makini na wakijifanya kuchezea Demokrasia, huu ndo utakuwa ule mwaka wa kukumbukwa.
Kwa wale wanaohisi tutawekewa vikwazo huu mwaka, sio tena kwamba ni hisia. Ni kwamba rasimi tumeanza kuwekewa vikwazo.
Vikwazo ni gradual process na Moody's ndio wameshaanza.. hii B2 waliotushusha nahisi ni suala la muda mchache ujao watatushusha tena.
Nnacho waomba wenye mamlaka ya uchaguzi ambao nahisi kuna msukumo wa kumuengua Lissu, wajue tu kwamba Lissu hana cha kupoteza, wajue tu kwamba watatusababishia tuanze kuchakazwa mapema na mabeberu.
Huu ni mtego na mchezo, pona ni kumuacha Tundu Lissu aende mpaka mwisho wa hii safari kwa haki, vinginevyo, hakuna namna Tanzania itapona kuchezea za ugoko.