Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

Tayari 2020 ni mwaka wa aina yake na ukiongezewa za ugoko utapata story nzuri ya kumuelezea wife na watoto
Nimeona taarifa ya Moody's kutu downgrade kutoka B1 mpaka B2, na hiyo imejitokeza ndani ya masaa 48 yaliyopita na masaa 72 kabla Tundu Lissu hajarudisha form ya uteuzi.

Kwanza kabisa kuwa downgraded ni jambo baya sana kwa nchi yetu, kwa sababu itawaogopesha investors na taasisi za fedha kukopesha wakopaji katika nchi ya Tanzania, kwa wakopaji binafsi na serikali yetu. So maana yake ni kwamba itaiongezea Tanzania gharama za kukopa nje kitu ambacho ki uchumi kitakuwa na athari zake kadri mda unavokwenda mbele.

Lakini tujiuluze, why now? na ghafla hivi tumekuwa downgraded hata kabla hatujafika uchaguzi mkuu?

Kwa tafsiri yangu, mi nadhani kati mda nchi inapaswa kuwa makini na macho ni kipindi hiki. Kinachotendeka sasa hivi, nadhani ni red light kwa serikali iliyopo madarakani.

Wasipokuwa makini na wakijifanya kuchezea Demokrasia, huu ndo utakuwa ule mwaka wa kukumbukwa.

Kwa wale wanaohisi tutawekewa vikwazo huu mwaka, sio tena kwamba ni hisia. Ni kwamba rasimi tumeanza kuwekewa vikwazo.

Vikwazo ni gradual process na Moody's ndio wameshaanza.. hii B2 waliotushusha nahisi ni suala la muda mchache ujao watatushusha tena.

Nnacho waomba wenye mamlaka ya uchaguzi ambao nahisi kuna msukumo wa kumuengua Lissu, wajue tu kwamba Lissu hana cha kupoteza, wajue tu kwamba watatusababishia tuanze kuchakazwa mapema na mabeberu.

Huu ni mtego na mchezo, pona ni kumuacha Tundu Lissu aende mpaka mwisho wa hii safari kwa haki, vinginevyo, hakuna namna Tanzania itapona kuchezea za ugoko.
 
Uchumi wa kati hapo ni namba tu hizo za makaratasi, lakini kwa investors bado risk ya Tanzania ni kubwa. Issue kubwa pia ni jamaa kuweka wazi kwamba anawachukia mabeberu. Nadhani sasa na mabeberu wanataka kumuonesha upande wa pili wa shilingi upoje
Kwani wazungu huwa wanamuelewa Magufuli anapowaita majambazi wa mali zetu ?
 
Nimeona taarifa ya Moody's kutu downgrade kutoka B1 mpaka B2, na hiyo imejitokeza ndani ya masaa 48 yaliyopita na masaa 72 kabla Tundu Lissu hajarudisha form ya uteuzi.

Kwanza kabisa kuwa downgraded ni jambo baya sana kwa nchi yetu, kwa sababu itawaogopesha investors na taasisi za fedha kukopesha wakopaji katika nchi ya Tanzania, kwa wakopaji binafsi na serikali yetu. So maana yake ni kwamba itaiongezea Tanzania gharama za kukopa nje kitu ambacho ki uchumi kitakuwa na athari zake kadri mda unavokwenda mbele.

Lakini tujiuluze, why now? na ghafla hivi tumekuwa downgraded hata kabla hatujafika uchaguzi mkuu?

Kwa tafsiri yangu, mi nadhani kati mda nchi inapaswa kuwa makini na macho ni kipindi hiki. Kinachotendeka sasa hivi, nadhani ni red light kwa serikali iliyopo madarakani.

Wasipokuwa makini na wakijifanya kuchezea Demokrasia, huu ndo utakuwa ule mwaka wa kukumbukwa.

Kwa wale wanaohisi tutawekewa vikwazo huu mwaka, sio tena kwamba ni hisia. Ni kwamba rasimi tumeanza kuwekewa vikwazo.

Vikwazo ni gradual process na Moody's ndio wameshaanza.. hii B2 waliotushusha nahisi ni suala la muda mchache ujao watatushusha tena.

Nnacho waomba wenye mamlaka ya uchaguzi ambao nahisi kuna msukumo wa kumuengua Lissu, wajue tu kwamba Lissu hana cha kupoteza, wajue tu kwamba watatusababishia tuanze kuchakazwa mapema na mabeberu.

Huu ni mtego na mchezo, pona ni kumuacha Tundu Lissu aende mpaka mwisho wa hii safari kwa haki, vinginevyo, hakuna namna Tanzania itapona kuchezea za ugoko.
IGP, DGIS , CDF, AG na CJ kama mnaipenda nchi hii kwa uzalendo wenu ongeeni na huyo swahiba wenu. Isije mtu mmoja akatuletea tabu nchi nzima. Mtanufaika nini??
 
Nimeona taarifa ya Moody's kutu downgrade kutoka B1 mpaka B2, na hiyo imejitokeza ndani ya masaa 48 yaliyopita na masaa 72 kabla Tundu Lissu hajarudisha form ya uteuzi.

Kwanza kabisa kuwa downgraded ni jambo baya sana kwa nchi yetu, kwa sababu itawaogopesha investors na taasisi za fedha kukopesha wakopaji katika nchi ya Tanzania, kwa wakopaji binafsi na serikali yetu. So maana yake ni kwamba itaiongezea Tanzania gharama za kukopa nje kitu ambacho ki uchumi kitakuwa na athari zake kadri mda unavokwenda mbele.

Lakini tujiuluze, why now? na ghafla hivi tumekuwa downgraded hata kabla hatujafika uchaguzi mkuu?

Kwa tafsiri yangu, mi nadhani kati mda nchi inapaswa kuwa makini na macho ni kipindi hiki. Kinachotendeka sasa hivi, nadhani ni red light kwa serikali iliyopo madarakani.

Wasipokuwa makini na wakijifanya kuchezea Demokrasia, huu ndo utakuwa ule mwaka wa kukumbukwa.

Kwa wale wanaohisi tutawekewa vikwazo huu mwaka, sio tena kwamba ni hisia. Ni kwamba rasimi tumeanza kuwekewa vikwazo.

Vikwazo ni gradual process na Moody's ndio wameshaanza.. hii B2 waliotushusha nahisi ni suala la muda mchache ujao watatushusha tena.

Nnacho waomba wenye mamlaka ya uchaguzi ambao nahisi kuna msukumo wa kumuengua Lissu, wajue tu kwamba Lissu hana cha kupoteza, wajue tu kwamba watatusababishia tuanze kuchakazwa mapema na mabeberu.

Huu ni mtego na mchezo, pona ni kumuacha Tundu Lissu aende mpaka mwisho wa hii safari kwa haki, vinginevyo, hakuna namna Tanzania itapona kuchezea za ugoko.
Bahati mbaya kweli kwa Tanzania tumejikuta mikononi mwa nduli lakini naona mwisho wake kila mtu atamwonea huruma.
 
Mbona mnalialia kama Lissu amevunja sheria za uchaguzi hakuna jinsi hatuko tayari kuchezewa uhuru wetu na hao mabeberu wenu.
Kwa hiyo wewe hutaki mpambano wa uso kwa uso kwenye ulingo ila unataka kwanza mwenzio afungwe mikono yote ndiyo wewe upigane?
 
magu atatuingiza kwenye matatizo makubwa ,miaka mitano tu maji ya shingo,kashindwa kuajiri ,halafu anataka kupita kiraisi raisi
 
Nimeona taarifa ya Moody's kutu downgrade kutoka B1 mpaka B2, na hiyo imejitokeza ndani ya masaa 48 yaliyopita na masaa 72 kabla Tundu Lissu hajarudisha form ya uteuzi.

Kwanza kabisa kuwa downgraded ni jambo baya sana kwa nchi yetu, kwa sababu itawaogopesha investors na taasisi za fedha kukopesha wakopaji katika nchi ya Tanzania, kwa wakopaji binafsi na serikali yetu. So maana yake ni kwamba itaiongezea Tanzania gharama za kukopa nje kitu ambacho ki uchumi kitakuwa na athari zake kadri mda unavokwenda mbele.

Lakini tujiuluze, why now? na ghafla hivi tumekuwa downgraded hata kabla hatujafika uchaguzi mkuu?

Kwa tafsiri yangu, mi nadhani kati mda nchi inapaswa kuwa makini na macho ni kipindi hiki. Kinachotendeka sasa hivi, nadhani ni red light kwa serikali iliyopo madarakani.

Wasipokuwa makini na wakijifanya kuchezea Demokrasia, huu ndo utakuwa ule mwaka wa kukumbukwa.

Kwa wale wanaohisi tutawekewa vikwazo huu mwaka, sio tena kwamba ni hisia. Ni kwamba rasimi tumeanza kuwekewa vikwazo.

Vikwazo ni gradual process na Moody's ndio wameshaanza.. hii B2 waliotushusha nahisi ni suala la muda mchache ujao watatushusha tena.

Nnacho waomba wenye mamlaka ya uchaguzi ambao nahisi kuna msukumo wa kumuengua Lissu, wajue tu kwamba Lissu hana cha kupoteza, wajue tu kwamba watatusababishia tuanze kuchakazwa mapema na mabeberu.

Huu ni mtego na mchezo, pona ni kumuacha Tundu Lissu aende mpaka mwisho wa hii safari kwa haki, vinginevyo, hakuna namna Tanzania itapona kuchezea za ugoko.
Ndugu tusitumie issue ya moody kisiasa na kuwapa watu wrong information.

Kwa wakati huu wa covid19 dunia iko katika hali mbaya ya kiuchumi, mapato ni madogo na mashirika mengi makubwa USA na Europe yamefilisika, na nchi nyingi TZ ikiwa mojawapo, Forex zao zimepungua sana na tax collection pamoja na export comodities zimepungua, kusababisha ukweli kuwa zaidi ya ku service deni, i akuwa ni vigumu kukopa.

Pia hamko wa kweli, mbona hamuzungumzii MOODY walivyo ipandisha TZ kutoka NEGETIVE STATUS HADI STABLE STATUS .

Soma report ya Moody vizuri, kama huna Kigogo amekuwekea kwenye Twitter, hamba aibu wala uzalendo, Tz sio ya magufuli wala ccm, ni yetu sote, tuwache kuwa maadui wa nchi , kama una bifu na magufuli tafuta scandal zake, kama una bifu na ccm waponde ccm, ila tusijiharibie nchi yetu.
 
Back
Top Bottom