Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

Kavunja sheria ipi we kima,tulieni dawa iwaingie.Mnaharibu nchi wananchi wanaishi maisha ya dhiki,sijui mnachong'ang'ania ni kipi!
Kasome kipengere No. 16 za Kanuni za Uchaguzi za NEC za 2020.
 
Kiukweli ccm INA wakati mgumu sana, yaani Kule tunduma wameanza kuwatumia uhamiaji na jeshi LA polis kutaka kukamata wagombea wa chadema, je kuna uchaguzi huru na haki hapo? Lissu wanapanga kumkamata Siku ya kurudisha fomu Dodoma, hii tume itatuletea machafuko kwenye taifa letu
 
Mnajisikiaje mnapopiga kelele humu huku wenzenu ccm wakipanga mikakati ya kupigiwa kura za ushindi?
Mkuu ccm wako busy kutoa maelekezo kwa uhamiaji namna ya kuwadhibiti wagombea wa upinzani ili wasisimamishwe kugombea ubunge na udiwani ili wapite bila kupingwa.ccm siasa za ushindani hawawezi...
 
Uchumi wa kati hapo ni namba tu hizo za makaratasi, lakini kwa investors bado risk ya Tanzania ni kubwa. Issue kubwa pia ni jamaa kuweka wazi kwamba anawachukia mabeberu. Nadhani sasa na mabeberu wanataka kumuonesha upande wa pili wa shilingi upoje
Tujitambue, tujikubali na tujiandae kwani hakuna mjomba wa kutuletea maendeleo.
Ni upuuzi kufikiri kuwa sisi ndio tunawahitaji sana kuliko wao.. Tuna idadi ya watu wa kutosha kama soko la mazao na bidhaa zetu. Tunao wataalamu wa kurndesha njia zote za uzalishaji kujenga uchumi.
 
Na yule Amsterdam speed yake ya open letters kwa Pombe mpaka inanitisha,kuna watu wataliwa vichwa hapa ngoja wabugi waone.
 
Haina maana kuwa Asasi za kiraia zinaweza kufanya chochote bila kufuata sheria za nchi husika! Waeleze hizo pesa zimetoka wapi na za nini?
Waambie kwanza hizo za deni la Taifa wanakopa za nini wakati wanatuambia kila siku miradi yote inatekelezwa kwa fedha za ndani? Au kosa ni wengine kupata fedha wasiwe omba omba kama mnaowagawia 30,000 za kuhonga au kuwanunulia jogoo kwa 100,000/=? Roho za kimasikini hazijengi!
 
Hivi vitisho vya Lissu akifanyiwa hivi, mabeberu wataretaliate hivi na stori nyingine kama hizi sioni zinamsaidiaje Lissu katika kushindania kwake urais kwasababu nachokiona ni kama mnazidi kuiimarisha ile hisia ya kwamba huyu jamaa ni asset ya mabeberu na hagombei hii nafasi kwa ajili ya watanzania. Mtajikuta mnawaunganisha watanzania dhidi ya mabeberu na asset yao na hili likikamilika mtu wenu hatoamini matokeo ya huu umoja kwenye boksi la kura. Lissu kawa wa Moody's, Amsterdam & Partners LLP, Serikali ya marekani nk sioni watanzania tunapaswa kumtegemea mwa lipi.
Watch out lissu we ukihisi unaweza kushinda kwa kututishia mabeberu basi wapo wakongwe wa kutwist mambo na utaonekana wakuja mbele ya watanzania, tujipe muda...
 
Mkuu, hakuna mtu aliyevunja sheria ya uchaguzi. Au unadhani taratibu za CCM ndio hizo hizo za nchi??

Kuanza kampeni mapema ni kuanza kabla tarehe rasmi lakini uwe umepitishwa kama mgombea. Mpaka sasa waliochukua form ni wagombea kwenye vyama vyao lakini ni watia nia kwa NEC! NEC haina mamlaka na watia nia bali wagombea iliyowapitisha!!
Wenye akili watakuelewa.
 
Nimeona taarifa ya Moody's kutu downgrade kutoka B1 mpaka B2, na hiyo imejitokeza ndani ya masaa 48 yaliyopita na masaa 72 kabla Tundu Lissu hajarudisha form ya uteuzi.

Kwanza kabisa kuwa downgraded ni jambo baya sana kwa nchi yetu, kwa sababu itawaogopesha investors na taasisi za fedha kukopesha wakopaji katika nchi ya Tanzania, kwa wakopaji binafsi na serikali yetu. So maana yake ni kwamba itaiongezea Tanzania gharama za kukopa nje kitu ambacho ki uchumi kitakuwa na athari zake kadri mda unavokwenda mbele.

Lakini tujiuluze, why now? na ghafla hivi tumekuwa downgraded hata kabla hatujafika uchaguzi mkuu?

Kwa tafsiri yangu, mi nadhani kati mda nchi inapaswa kuwa makini na macho ni kipindi hiki. Kinachotendeka sasa hivi, nadhani ni red light kwa serikali iliyopo madarakani.

Wasipokuwa makini na wakijifanya kuchezea Demokrasia, huu ndo utakuwa ule mwaka wa kukumbukwa.

Kwa wale wanaohisi tutawekewa vikwazo huu mwaka, sio tena kwamba ni hisia. Ni kwamba rasimi tumeanza kuwekewa vikwazo.

Vikwazo ni gradual process na Moody's ndio wameshaanza.. hii B2 waliotushusha nahisi ni suala la muda mchache ujao watatushusha tena.

Nnacho waomba wenye mamlaka ya uchaguzi ambao nahisi kuna msukumo wa kumuengua Lissu, wajue tu kwamba Lissu hana cha kupoteza, wajue tu kwamba watatusababishia tuanze kuchakazwa mapema na mabeberu.

Huu ni mtego na mchezo, pona ni kumuacha Tundu Lissu aende mpaka mwisho wa hii safari kwa haki, vinginevyo, hakuna namna Tanzania itapona kuchezea za ugoko.
Hapa ndo imeanza kuonekana hadharani aina gani ya mgombea tuliye naye. Yule ana ajenda zake katumwa. Ila Mungu aisaidie nchi yetu.
 
Hivi vitisho vya Lissu akifanyiwa hivi, mabeberu wataretaliate hivi na stori nyingine kama hizi sioni zinamsaidiaje Lissu katika kushindania kwake urais kwasababu nachokiona ni kama mnazidi kuiimarisha ile hisia ya kwamba huyu jamaa ni asset ya mabeberu na hagombei hii nafasi kwa ajili ya watanzania. Mtajikuta mnawaunganisha watanzania dhidi ya mabeberu na asset yao na hili likikamilika mtu wenu hatoamini matokeo ya huu umoja kwenye boksi la kura. Lissu kawa wa Moody's, Amsterdam & Partners LLP, Serikali ya marekani nk sioni watanzania tunapaswa kumtegemea mwa lipi.
Watch out lissu we ukihisi unaweza kushinda kwa kututishia mabeberu basi wapo wakongwe wa kutwist mambo na utaonekana wakuja mbele ya watanzania, tujipe muda...
Jamaa KBR yule
 
Mbona unaweweseka? Tutafika tu !
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nimeona taarifa ya Moody's kutu downgrade kutoka B1 mpaka B2, na hiyo imejitokeza ndani ya masaa 48 yaliyopita na masaa 72 kabla Tundu Lissu hajarudisha form ya uteuzi.

Kwanza kabisa kuwa downgraded ni jambo baya sana kwa nchi yetu, kwa sababu itawaogopesha investors na taasisi za fedha kukopesha wakopaji katika nchi ya Tanzania, kwa wakopaji binafsi na serikali yetu. So maana yake ni kwamba itaiongezea Tanzania gharama za kukopa nje kitu ambacho ki uchumi kitakuwa na athari zake kadri mda unavokwenda mbele.

Lakini tujiuluze, why now? na ghafla hivi tumekuwa downgraded hata kabla hatujafika uchaguzi mkuu?

Kwa tafsiri yangu, mi nadhani kati mda nchi inapaswa kuwa makini na macho ni kipindi hiki. Kinachotendeka sasa hivi, nadhani ni red light kwa serikali iliyopo madarakani.

Wasipokuwa makini na wakijifanya kuchezea Demokrasia, huu ndo utakuwa ule mwaka wa kukumbukwa.

Kwa wale wanaohisi tutawekewa vikwazo huu mwaka, sio tena kwamba ni hisia. Ni kwamba rasimi tumeanza kuwekewa vikwazo.

Vikwazo ni gradual process na Moody's ndio wameshaanza.. hii B2 waliotushusha nahisi ni suala la muda mchache ujao watatushusha tena.

Nnacho waomba wenye mamlaka ya uchaguzi ambao nahisi kuna msukumo wa kumuengua Lissu, wajue tu kwamba Lissu hana cha kupoteza, wajue tu kwamba watatusababishia tuanze kuchakazwa mapema na mabeberu.

Huu ni mtego na mchezo, pona ni kumuacha Tundu Lissu aende mpaka mwisho wa hii safari kwa haki, vinginevyo, hakuna namna Tanzania itapona kuchezea za ugoko.
Halafu hiyo moody's ni private company hao ndio wadau wakubwa wa mabeberu kuleta fujo kwejy nchi huru yaani hao ndio agents of neo colonialism and imperialism, so hizo.ratings zisikupe hofu tutapunch tuu kumbuka hata misaada walikata sababu ya uchaguzi wa znz so sio ishu, we will win this one too ..
 
Mnavyoyahusudu hao mabwana zenu aseeh ..

Mtz baadhi ni milimbukeni sana sijawah kuona,na hapo unakuta jitu lina degree kabisaa ila ushabiki sasa.

Nchi ikiingiliwa mnaingiliwa ninyi wote wapumbafu wala c magufuri peke yake.
 
Moto wa aina yake, kizuri pia Lissu na yeye sio mnyonge kama kina Lowassa na Membe. Ndo maana huu uchaguzi umekuwa wa kipekee sana
Swali ninalojiuliza kila mara ni kwamba Kwanini Mh Lissu amejiamini mno ktk uchaguzi huu licha ya majeraha ya risasi zote zile?? Lazima kuna sababu.
 
Back
Top Bottom