Who is moody's by the way? Mlishasema mengi sana wakati wa issue ya Accacia lakini Accacia tumeshamzika hapa TZ na hakuna lolote. You wait and see after 28/10/2020!!Mkuu.. unaona Moody's walichokifanya?? ama unaongea bila taarifa?
Who is moody's by the way? Mlishasema mengi sana wakati wa issue ya Accacia lakini Accacia tumeshamzika hapa TZ na hakuna lolote. You wait and see after 28/10/2020!!Mkuu.. unaona Moody's walichokifanya?? ama unaongea bila taarifa?
Muda sio mwingi watajuta na walio watumaKufunga accounts za mtandao wa asasi za kutetea haki za binadamu ni moja ya sababu!
Wameambiwa waeleze hizo 6B zimetoka wapi? Si watoe maelezo otherwise ziendelee kufungiwa no way! Pia jiulize serikali imejuaje kuna pesa 6B zimeingia kwenye account zao?? Think proactively!!Kufunga accounts za mtandao wa asasi za kutetea haki za binadamu ni moja ya sababu!
Tanzania, Government of -- Moody's downgrades Tanzania's rating to B2; outlook stableNasoma wapi hii taarifa Mkuu?
Naunga mkono hoja,huyu magufuli tunapaswa kumuondoa ofisini sisi wenyewe,mabeberu watakuja kutusaidia tukiwa njiani kuelekea kumng'oa either kwa kura au kwa nguvuWatanyooka tu hao mabeberu. Kama mnawategemea sana baada ya 28/10/2020 mtaugua ugonjwa wa moyo.
Kuwa mpole ndugu.. acha paparaMnajisikiaje mnapopiga kelele humu huku wenzenu ccm wakipanga mikakati ya kupigiwa kura za ushindi?
Umemzika Accacia? Na twiga ni nani na nini tofauti ya Accacia na Twiga na Sheraton na serena?Who is moody's by the way? Mlishasema mengi sana wakati wa issue ya Accacia lakini Accacia tumeshamzika hapa TZ na hakuna lolote. You wait and see after 28/10/2020!!
Jitokeze tuone kama nguvu unazo za kumwondoa kwa nguvu!Naunga mkono hoja,huyu magufuli tunapaswa kumuondoa ofisini sisi wenyewe,mabeberu watakuja kutusaidia tukiwa njiani kuelekea kumng'oa either kwa kura au kwa nguvu
Ahsante sanaTanzania, Government of -- Moody's downgrades Tanzania's rating to B2; outlook stable
Modi mnisamehe nimeweka hii link hapa
Lissu kavunja sheria gani wewe?Mbona mnalialia kama Lissu amevunja sheria za uchaguzi hakuna jinsi hatuko tayari kuchezewa uhuru wetu na hao mabeberu wenu.
Tuambie wewe?? Unajua organization structure ya Twiga??Umemzika Accacia? Na twiga ni nani na nini tofauti ya Accacia na Twiga na Sheraton na serena?
Baada ya tarehe 28/10/2020 utakufa kihoro!!Lissu kavunja sheria gani wewe?
Hi dunia haijawahi tokea mtu akafanya anavyotaka akaachwa.
Hata makaburu walisema wao Ni nchi huru,lakini nyerere na wenzie hawakukubali Wala kuwaacha wawafanyie raia wa nchi hizo walivyokua wakiaafanyia,Hata Waisrael wnachowafanyia Wapalestina dunia haijakaa kimya.
Unajidanganya wewe Ni nchi huru,una Uhuru gani wewe?
Mtaju hamjui mwaka huu. Nenda kwa kigogo 2014 uone kule Twitter, keshaupiga spana mfumo wenu wa kuiba kura mwaka huu. Mtajua hamjui 😂😂😂Mnajisikiaje mnapopiga kelele humu huku wenzenu ccm wakipanga mikakati ya kupigiwa kura za ushindi?
Huko unakompeleka mbali siyo kujua impact tu jee anajua ni kitu gani?Ina maana wewe habari ya Moody's haijakugusa ama haujui impact yake kwa taifa??
Ni vizuri huo ushauri ukajipa wewe na CCM wenzio. Mwaka huu disco la CCM limeingia mmasaiBaada ya tarehe 28/10/2020 utakufa kihoro!!
Kumbe unapiga Domo tu bila kujua kinachoendelea?Tuambie wewe?? Unajua organization structure ya Twiga??