Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

Tume isipokuwa makini na Tundu Lissu, tutaanza kuchezea za ugoko mapema

Nimeamin hawa jamaa mkiwapa nchi kuna ahadi nyingi sana ambazo walishaahid mabeberu,huenda tulishauzwa,tunaweza shangilia kwa yanayotokea lakini muda huwa ni mwlm mzuri sana na ninazan Tanzania sio taifa huru bali limeshakuwa koloni la mabeberu sababu ya mtu mmoja anaetafuta madaraka kwa nguvu,Kuna mengi sana ya ajabu yanatokea Uganda lakini sijaona sauti ya Mabeberu wakizungumza chochoto.

Kampeni Uganda wameamuliwa mapinzani kufanya kwa njia ya mitandao lakin bado mabeberu hawaoni,Kuna sehemu watu walishaahidi kuwa tukiingia madarakani tutawafanyia ivi!
We kweli pimbi, vingapi vimeuzwa na CCM, Mikataba ya madini nani alisaini, ubinafusishaji wa viwanda nan alisaini chini ya serikali gani? Pumbavu kaa kimya
 
Nimeona taarifa ya Moody's kutu downgrade kutoka B1 mpaka B2, na hiyo imejitokeza ndani ya masaa 48 yaliyopita na masaa 72 kabla Tundu Lissu hajarudisha form ya uteuzi.

Kwanza kabisa kuwa downgraded ni jambo baya sana kwa nchi yetu, kwa sababu itawaogopesha investors na taasisi za fedha kukopesha wakopaji katika nchi ya Tanzania, kwa wakopaji binafsi na serikali yetu. So maana yake ni kwamba itaiongezea Tanzania gharama za kukopa nje kitu ambacho ki uchumi kitakuwa na athari zake kadri mda unavokwenda mbele.

Lakini tujiuluze, why now? na ghafla hivi tumekuwa downgraded hata kabla hatujafika uchaguzi mkuu?

Kwa tafsiri yangu, mi nadhani kati mda nchi inapaswa kuwa makini na macho ni kipindi hiki. Kinachotendeka sasa hivi, nadhani ni red light kwa serikali iliyopo madarakani.

Wasipokuwa makini na wakijifanya kuchezea Demokrasia, huu ndo utakuwa ule mwaka wa kukumbukwa.

Kwa wale wanaohisi tutawekewa vikwazo huu mwaka, sio tena kwamba ni hisia. Ni kwamba rasimi tumeanza kuwekewa vikwazo.

Vikwazo ni gradual process na Moody's ndio wameshaanza.. hii B2 waliotushusha nahisi ni suala la muda mchache ujao watatushusha tena.

Nnacho waomba wenye mamlaka ya uchaguzi ambao nahisi kuna msukumo wa kumuengua Lissu, wajue tu kwamba Lissu hana cha kupoteza, wajue tu kwamba watatusababishia tuanze kuchakazwa mapema na mabeberu.

Huu ni mtego na mchezo, pona ni kumuacha Tundu Lissu aende mpaka mwisho wa hii safari kwa haki, vinginevyo, hakuna namna Tanzania itapona kuchezea za ugoko.
Ubaya kautaka mwenyewe meko na namuombea mwisho mbaya
 
NI UPUMBAVU NA UJUHA MWANAUME MZIMA KUTETEMEKEA MABEBERU, JINGAA KABISA.
 
Hahaha... Ccm wanajua hii ngoma wanacheza na watoto wadogo ndio maana wamejikalia kimya wanajua,

Baada ya oktoba mtakuja hapa kulialia
Wamejikalia kimya au maumivu ya kichwa ni makali sana??? Mna hali mbaya sana mwaka huu nyie kijani
 
Kwa mahali tulipofikia kama nchi, inapaswa kitu kifanyike kwa haraka.. mtu huwezi kujifanya mungu mtu na kudharau watanzania milioni 60.. no way..

Mtetezi pekee wa watanzania sahiv ni mabeberu
Mbona mlimuacha mange peke yake?
 
Huko ni kujidanganya tu..kabla ya hiyo taarifa tumejenga SGR, JKHPP, flyovers, madaraja ya kisasa kama tanzanite, vituo vya afya na hospitals, kuhamia dodoma.
 
Kigogo ndio mdudu gani [emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu niambie kitu gani kigogo wa twiter kakupa ambacho kina madhara kwa nchi hii.?

Eti amedukua tume,!
Mbona wafuasi wa Lisu mnafurahisha sana?

Tume itakuwa inatangaza mtokeo toka kila kituo kadiri wanavyopata huku yakionesha Magufuli anashinda na wabunge wa jamhuri robo 3 nzima wakiwa wa ccm.

Sasa hebu twambie huyo kigogo atakusaidiaje? Ataenda kumnyang'anya mic mwenye kiti wa tume na kumtangaza Lisu badala ya Magu au?
Baba chutamaaaa!! Hali si hali Lumumba huko!! We huoni makada wenzako kina Yehodaya, stroke, cocochannel na wengineo wengi wameamua kukaa kimya!!!!

Tumia mda huu kutubu na kujitafutia michongo mingine baada ya October ndugu 😀
 
Huko ni kujidanganya tu..kabla ya hiyo taarifa tumejenga SGR, JKHPP, flyovers, madaraja ya kisasa kama tanzanite, vituo vya afya na hospitals, kuhamia dodoma.
Usisahau na Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato
 
Nakuuga mkono. Wasimuwekee Lissu pingamizi. Nashauri wamuache mpaka hatua ya mwisho na sisi tunajua CCM itashinda uchaguzi huu.
Japokuwa ccm haiwezi kushinda uchaguzi, wazo lako ni la kistaarabu sana.
 
Mbona mnalialia kama Lissu amevunja sheria za uchaguzi hakuna jinsi hatuko tayari kuchezewa uhuru wetu na hao mabeberu wenu.
Kavunja sheria ipi we kima,tulieni dawa iwaingie.Mnaharibu nchi wananchi wanaishi maisha ya dhiki,sijui mnachong'ang'ania ni kipi!
 
Mbona mnalialia kama Lissu amevunja sheria za uchaguzi hakuna jinsi hatuko tayari kuchezewa uhuru wetu na hao mabeberu wenu.

Mkuu, hakuna mtu aliyevunja sheria ya uchaguzi. Au unadhani taratibu za CCM ndio hizo hizo za nchi??

Kuanza kampeni mapema ni kuanza kabla tarehe rasmi lakini uwe umepitishwa kama mgombea. Mpaka sasa waliochukua form ni wagombea kwenye vyama vyao lakini ni watia nia kwa NEC! NEC haina mamlaka na watia nia bali wagombea iliyowapitisha!!
 
Mbona mnalialia kama Lissu amevunja sheria za uchaguzi hakuna jinsi hatuko tayari kuchezewa uhuru wetu na hao mabeberu wenu.
Tatizo nyie "majike" mnayapenda mno mabeberu. Yakinuna kidogo mnalialia ovyooooo! Hivi mkoje ?
 
Back
Top Bottom