Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,253
- 15,748
Walihongwa hela imeliwa hiyo uhalisia ndo huo,Sasa inakuwaje tuwe down graded wakati tuliaminishwa tumeingia uchumi wa kati?!
Kumbe yale yote yalikuwa ni maigizo, wacha tuendelee kuisoma namba.
Uchumi wa kati hapo ni namba tu hizo za makaratasi, lakini kwa investors bado risk ya Tanzania ni kubwa. Issue kubwa pia ni jamaa kuweka wazi kwamba anawachukia mabeberu. Nadhani sasa na mabeberu wanataka kumuonesha upande wa pili wa shilingi upojeSasa inakuwaje tuwe down graded wakati tuliaminishwa tumeingia uchumi wa kati?!
Kumbe yale yote yalikuwa ni maigizo, wacha tuendelee kuisoma namba.
Moto wa aina yake, kizuri pia Lissu na yeye sio mnyonge kama kina Lowassa na Membe. Ndo maana huu uchaguzi umekuwa wa kipekee sanaTatizo Jiwe anaogopa Uchaguzi balaa na kafanya vitu ambavyo havijafanywa kwa miaka 50 na ya uhuru. Ila kuengua mgombea wa Chama kikuu cha Upinzani aiseee ni kujitoa mhanga, unaweza kuengua wakina Membe wa ACT ila sio CDM ambacho ni chama kikuu cha upinzani hapo ni kucheza na moto
Mabeberu wameingia kazini sasa.... wanataka kuanza kumnyoosha mtuWalihongwa hela imeliwa hiyo uhalisia ndo huo,
Mbona mnalialia kama Lissu amevunja sheria za uchaguzi hakuna jinsi hatuko tayari kuchezewa uhuru wetu na hao mabeberu wenu.Nimeona taarifa ya Moody's kutu downgrade kutoka B1 mpaka B2, na hiyo imejitokeza ndani ya masaa 48 yaliyopita na masaa 72 kabla Tundu Lissu hajarudisha form ya uteuzi.
Kwanza kabisa kuwa downgraded ni jambo baya sana kwa nchi yetu, kwa sababu itawaogopesha investors na taasisi za fedha kukopesha wakopaji katika nchi ya Tanzania, kwa wakopaji binafsi na serikali yetu. So maana yake ni kwamba itaiongezea Tanzania gharama za kukopa nje kitu ambacho ki uchumi kitakuwa na athari zake kadri mda unavokwenda mbele.
Lakini tujiuluze, why now? na ghafla hivi tumekuwa downgraded hata kabla hatujafika uchaguzi mkuu?
Kwa tafsiri yangu, mi nadhani kati mda nchi inapaswa kuwa makini na macho ni kipindi hiki. Kinachotendeka sasa hivi, nadhani ni red light kwa serikali iliyopo madarakani.
Wasipokuwa makini na wakijifanya kuchezea Demokrasia, huu ndo utakuwa ule mwaka wa kukumbukwa.
Kwa wale wanaohisi tutawekewa vikwazo huu mwaka, sio tena kwamba ni hisia. Ni kwamba rasimi tumeanza kuwekewa vikwazo.
Vikwazo ni gradual process na Moody's ndio wameshaanza.. hii B2 waliotushusha nahisi ni suala la muda mchache ujao watatushusha tena.
Nnacho waomba wenye mamlaka ya uchaguzi ambao nahisi kuna msukumo wa kumuengua Lissu, wajue tu kwamba Lissu hana cha kupoteza, wajue tu kwamba watatusababishia tuanze kuchakazwa mapema na mabeberu.
Huu ni mtego na mchezo, pona ni kumuacha Tundu Lissu aende mpaka mwisho wa hii safari kwa haki, vinginevyo, hakuna namna Tanzania itapona kuchezea za ugoko.
Kwa mahali tulipofikia kama nchi, inapaswa kitu kifanyike kwa haraka.. mtu huwezi kujifanya mungu mtu na kudharau watanzania milioni 60.. no way..Matunda ya kutoshauriwa, kupuzia,ujuaji, Papara na mihemuko ya Jiwe ndio itakayoigarimu nchi na sio Lissu.
Watanyooka tu hao mabeberu. Kama mnawategemea sana baada ya 28/10/2020 mtaugua ugonjwa wa moyo.Mabeberu wameingia kazini sasa.... wanataka kuanza kumnyoosha mtu
Mkuu.. unaona Moody's walichokifanya?? ama unaongea bila taarifa?Watanyooka tu hao mabeberu. Kama mnawategemea sana baada ya 28/10/2020 mtaugua ugonjwa wa moyo.
Watz wapi amewadharau? Au hao wasaliti wa nchi yetu ambao hata million hawafiki?Kwa mahali tulipofikia kama nchi, inapaswa kitu kifanyike kwa haraka.. mtu huwezi kujifanya mungu mtu na kudharau watanzania milioni 60.. no way..
Mtetezi pekee wa watanzania sahiv ni mabeberu
Ina maana wewe habari ya Moody's haijakugusa ama haujui impact yake kwa taifa??Unaweza kuta aliyeanzisha hii thread ni kiongozi pale ufipa.
HAHAHAHAHAHAHAWalihongwa hela imeliwa hiyo uhalisia ndo huo,
Asiyeona haambiwi tazamaWatz wapi amewadharau? Au hao wasaliti wa nchi yetu ambao hata million hawafiki?
Kufunga accounts za mtandao wa asasi za kutetea haki za binadamu ni moja ya sababu!Hawa viongozi wanaanza kulewa madaraka sasa
Nasoma wapi hii taarifa Mkuu?Ina maana wewe habari ya Moody's haijakugusa ama haujui impact yake kwa taifa??